Recent content by mirajin

  1. mirajin

    JamiiForums Tanzania Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    Kipindi kile umenishauri Nitumie chumvi nikatumia sana tu lakini wapi haijasaidia kitu Mambo bado magumu kama kuna dawa yoyote unaijua tafadhali Niambie hata kama hela Nita toa Hawa viumbe wananisumbua sana
  2. mirajin

    JamiiForums Tanzania Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    Mimi nasali na ninamtegemea mungu isipokuwa wa Naingia sana Ndani ya mwili wangu hata hapa nilipo wapo Ndani ya mwili na Pambana kwa kusikiliza Quran
  3. mirajin

    JamiiForums Tanzania Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    Mshana mtu anakuwaje na asili maji au majini na hiyo inatokana na nini na atajikingaje ili asiingiliwe na hayo majini
  4. mirajin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Huyo ndo umeshamkosa hata huku kwetu kuna jamaaa ameshakutana na hiyo hali mada ya mkesha lazima utaletewa tuu hiyo haikwepeki
  5. mirajin

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Ukishakufa kufa ndo utajua ipo au haipo kufa kwanza
  6. mirajin

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Toeni maelezo kuhusu Hizo picha ili tuelewe
  7. mirajin

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Mbona amechagua kembamba ndo anakatumbua
  8. mirajin

    JamiiForums Tanzania Waungwana wamvaa Joyce Kiria

    Alishapata mchepuko huyo
  9. mirajin

    JamiiForums Tanzania Conte bado kumshindwa wenger

    Hamuwezi Wenger
  10. mirajin

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Hebu nenda kasome chuo cha kiislamu ndo utajua hii Quran ilitoka kwa mungu au hapo utapata jibu lako kifupi Quran Mambo yajayo na mengi yametokea
  11. mirajin

    JamiiForums Tanzania Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

    Powa ngoja tu cheki
  12. mirajin

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani alilotoa kijana aliyepiga picha expansion joints za hostel

    Wasikuogopeshe pigania unachokiamini
  13. mirajin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Weka picha tukuone kuepusha lawama baadae
Back
Top Bottom