Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

Geuza simu yako kuwa na muonekano wa computer

Nimeidownload afu nimefuta naona ads zitanisumbua maana huwa sizipendi naturally
 
Mbona hukuleta ujanja humu?
Sasa mkuu launcher nayo ni ya kuanzisha thread humu jf, playstore kuna launcher ngapi? Kila launcher ukianzisha thread si itakuwa kazi.

Labda mada ingekuwa na uzito kama angeongelea jinsi ya kutumia simulator kufanya simu iwe na window ya computer.
 
Tulia wewe
Kama unajua mezea
Wengine hata hiyo launcher hatujui ni nini.
 
Haaaaahaaaaa, luncher kweli syo ya thread ila kma hujui ndo kaz sasa
Mkuu kama simu yako ina uwezo mzuri ingia YouTube angalia video jinsi ya ku install window katika simu kwa kutumia simulator, na ukatumia program za computer katika simu...
 
Back
Top Bottom