Recent content by minzakunza

  1. minzakunza

    Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

    Nikikumbuka tulichambwa tukendelee kucheza sinema naishia kububujikwa machozi🤣🤣 ngoja sasa tuwaonyeshe masinema HATUCHEZI
  2. minzakunza

    A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

    Huyohuyo, hata mtoto waliezaa nadhani alifariki pia kama sikosei
  3. minzakunza

    A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

    Kuna mume wake fulani alifariki pamoja na mtoto si wambea wa mjini walikuwa wanasema yule kijana alikuwa na grid ya taifa
  4. minzakunza

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Talib harakati zake kama za Pimbi hazijawahi kufanikiwa
  5. minzakunza

    Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

    Hapo walikutana wote ndoa achika, huyo Zaylisa mwenyewe kwa Haji si ndoa yake ya nne sijui ya tatu
  6. minzakunza

    Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    CAS tunaendelea vizuri tu, tuombe Mungu ya shirikisho inakuja
  7. minzakunza

    Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    Hata wakipumzishwa wana uhakika wa kupata matokeo, wao wamekubali kuchapika ili waje waifunge Yanga hizo akili au matope
  8. minzakunza

    Udhamini wa GSM unavyoathiri kiwango cha Taifa Stats

    Tunaomba takwimu kati ya Simba, Yanga na Azam ni wachezaji wangapi wameitwa kwenye timu zao za Taifa na mchango wao kwa hizo timu zao za Taifa
  9. minzakunza

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Hivi mna uhakika JC haoti huu ni msiba kweli?sitaki kuamini mwisho wa mimi umekuwa mbaya kiasi hiki😭
  10. minzakunza

    Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hahaa kila mtu atachanyikiwa kwa muda wake, hizo media za Tanga zimemsaidia kitu gani tangu awe Rais wa tff
  11. minzakunza

    Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Biriani, aisee huwa nawashangaa sana watu wanaohangaika nayo
  12. minzakunza

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Bertha tena jamani??? Mbona kiama sasa
  13. minzakunza

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Eti jamani😃😃 halafu hamkatai mtu, alijitahidi kwa Mariam tu na yeye ilibaki kidogo amkule angekoma angekua kala mdogo ake sijui angemuangaliaje baada ya kujua wameshare baba
  14. minzakunza

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Daah… afadhali nilikuwa siupendi uhusiano na Adelina basi tu, yaani kwenye sehemu za Adelina nilikuwa nasoma huku nimenuna
  15. minzakunza

    Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Siwa na Mwadawa ndo kiboko ya uswahilini, Kobisi sasa dah mzee Kikala kazi anayo
Back
Top Bottom