SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SABINI NA NNE
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA TATU:Naam wakati Higgno anaendelea kuandaa chakula, yaani anaingia na kutoka ndani, Soraya alikuwa kimya akifungua sms ya pili iliyotumwa na Talib Mwarabu kwa mmiliki wa simu ile ambayo yeye Soraya alimuona nayo mmoja kati ya watu sita waliomteka, “mjomba anataka kuwaambia polisi, hebu mtishieni” ndivyo ilivyosomeka sms ya pili, ukweli Soraya akazidi kushangazwa na jambo lile, hapo Soraya akaona bora aanze kusoma sms za mwanzo na ile kuifungua moja alijikuta anahisi kuzimia, maana hakuamini alicho kiona na kukisoma, kwamba kilikuwa ni kwaajili yake……… ENDELEA NAYO ……..
Na alie andika ni binamu yake Talib, japo hakuwa na uhakika kama kweli ni yeye, “musifanye kosa, mukisha pata fedha hakikisheni munamuua kabisa huyo kenge” ndivyo ilivyosomeka hiyo sms ambayo mtumaji alikuwa ni Talib Mwarabu, kumbuka simu hizi za kizamani usinge weza kuona sms zilizo tumwa na mwenye simu mpaka uingie kwenye sent box, Higgno akiwa anendelea na maandalizi yake ya chakula, mara afuate kachumbari, mara maji ya kunawa na vitu kama hivyo, huku Sraya alikuwa busy anaendelea kupekuwa sms kwenye ile simu, “tayari nimeshampa juice huyu mpambe wake, ana harisha kishenzi, Soraya anakuja peke yake sasa kazi kwenu” hapo ndipo Soraya alipozidi kupata uhakika kuwa aliepanga mpango ule ni binamu yake Talib, “haya sasa achana na hiyo simu uanze kula” alisema Higgno akiwa amesimama mbele ya Soraya na kikombe cha maji kwaajili ya kumsaidia kunawa, Soraya alishtuka kidogo na kuondoa sehemu ya sms kisha akamtazama Higgno, “kwani nakula peke yangu, si tuna kula wote?” aliuliza Soraya, huku akionyesha kukataa kunawa, “hiyo ni sahani yako mimi naandaa ya kwangu, alisema Higgno akiwa ameganda na kikombe cha maji mkononi, “kaongeze humu humu tule wote” alisema Soraya huku anaanza tena kupekuwa simu ile, safari hii ikiwa ni kwenye kitabu cha majina, “hoo! nasikiaga kuwa nyie huwa kila mtu anakula kwenye sahani yake” alisema Higgno huku anaweka maji pembeni na kuingia ndani.
Soraya aliitafuta namba iliyo andikwa Talib Mwarabu, na alipoipata akaiview na kuitazama namba ile halafu akaifungua simu yake na kuanza kutafuta namba kwenye phone book, mpaka alipoipata iliyoandikwa kaka Talib, akaiview kama ile ya Talib Mwarabu, na hapo akajikuta anameza mate kwa uoga, “ina maana huyu alikuwa ni Talib, na alikuwa anampango wa kuniuwa kabisa, halafu anasema amesha chukuwa funguo ya wapi na wanataka kufanya nini?” alijiuliza Soraya, ambae kiukweli hakutaka kumjulisha Higgno juu ya swala hilo, “halafu anajifanya eti hoo Higgno ndie aliepanga mpango wa kuniteka, sijui lengo lake niachane nae, sasa amenowa na kesho nina waambia baba na mama” aliwaza Soraya kimoyo moyo, ambae kiukweli ni kama alianza kujawa na furaha na matumaini mapya.
Naam Higgno akiwa mwenye shauku na moyo uliojaa furaha ya kuwa na Soraya kwa mara nyingine pale nyumbani kwake, alitumia dakika tano kuongeza chakula kwenye sahani kisha akachukuwa maji, “haya sasa tayari nawa tuanze kula uone nilivyo pika vizuri, alisema Higgno kwa sauti yake ya upole yenye dalili ya furaha, “sisi wenzako nyumbani anaanzaga kunawa baba” alisema Soraya, ambae bado alikuwa amevalia baibui lake, huku anachukuwa kikombe cha maji mkononi kwa Higgno na kuanza kumnawisha huku wote wawili wanacheka kwa furaha.
Naam wawili hawa walikuwa na wakati mzuri sana usiku ule, maana walikula kwa fauraha huku wakati mwingine wakijaribu kulishana na kufanyia michezo midogo midogo ya kimahaba, “eti! Higgno hii simu ya wale majambazi si naweza kuondoka nayo?” aliuliza Soraya wakati wanaendelea kula, “ichukuwe tu! lakini uwe makini, maana hatuwajui wenyewe” alisema Higgno akionyesha kuwa hakuwahi hata kuhangaika na ile simu.*******
Mzee Frank na mke wake hawa kuweza kupata usingizi mapema, usiku wa siku ile muda mwingi walitumia kuwaza na kupanga jinsi kesho itakavyo kuwa kule ugenini, tena kwenye nyumba ya familia ya kitajiri, “hivi amesha kutajia jina la huyo mchumba wake?” aliuliza mama Higgno, wakiwa kitandani tayari wamesha andaa nguo za kuvaa kesho, “bado haja nitajia, pengine atanitajia hiyo kesho” alijibu Mzee Frank kwa sauti ya sinto fahamu, “sasa kwanini wamesema twende sisi peke yetu na Higgno, baada ya kwenda na huyo Kijana?” aliuliza mama Higgno akionyesha mashaka, “mh! labda ni utaratibu wao, halafu kumbuka sasa yule binti amekuwa kama rafiki yetu katika familia” alijibu mzee Frank, na wakati huo simu ya mama Higgno ikaita na alipoitazama akaona ni yule nurse wa hospital ya mkoa, aliemuachia jukumu la mzee Komba, mh! kuna nini tena mbona anapiga usiku” aliuliza mama Higgno huku ana pokea simu, “naona umeshtuka simu ya usiku usiku” alisikika nurse mara baada ya mama Higgno kupokea simu, “mwenzangu umenitisha kweli, lakini vipi kuna usalama kweli?” aliuliza mama Higgno kwa sauti ambayo ilionyesha wazi kuwa anahofu kubwa, “salama kabisa wala hakuna tatizo, sema tu lile ombi limekubaliwa, kesho asubuhi mgonjwa atarudishwa zahanati ya Luhila kama tulivyo omba mgonjwa akawe karibu na ndugu zake ili aweze kuhudumiwa vizuri” alisema yule nurse, “hooo sasa tunatakiwa kufanya nini?” aliuliza mama Higgno, “hapo nadhani tusubiri kesho, taarifa ipelekwe Luhila zahanati watume Nurse wa kuja kumchukuwa au atoke huku mjini kama hakutokuwa na gari la kuja huko basi itabidi tukodi Taxi” alieleza Nurse na wakakubaliana wasubiri hiyo kesho na kwamba watajulishana kinacho endelea, lakini walikubaliana kuwa wawajulishe wanafamilia ya mzee Komba, “kwahiyo inaonyesha kuwa mke wake hakwenda tena jioni hii” alisema mzee Frank, akitilia shaka mahudhurio ya shemeji yake huyo huko Hospital “sidhani kama alienda, maana hizi taarifa si angekuwa amepewa yeye” alisema mama Higgno, kisha wakaendelea kujadiri hili na lile mpaka walipopitiwa na usingizi.*******
Mahamud akiwa na mke wake kitandani nao pia walikuwa wanaendelea kujadili hili na lile juu ya ugeni wa kesho, “hivi mume wangu, una lmaana gani kuwaalika hapa nyumbani, usije ukafanya kitu mbacho kitatuondolea hesma yetu mbele za watu?” alisema mama Soraya ambae sasa alikuwa kama kigeu geu, “hebu nikuambie kitu, tuna takiwa kuwapokea vizuri sana, kwasababu mpaka sasa hatujuwi kama ni kweli au sio kweli, na kama ni kweli kuna dalili tutaziona tukipata na ushaidi wa Talib, basi moja kwa moja tuna wakamata kiulaini kabisa” alisema Mahamud, “lakini kumbuka kuwa kuna kashfa ya kuwa tuna zuia Soraya asiolewe kwasababu unatembea nae, na tukikosea kidogo katika hili lazima itaonekana zile tuhuma ni za kweli” alitoa tahadhari mama Soraya, “hilo nalizingatia, ndio maana kesho nitakuwa makini kwenye maongezi na kumsoma huyo kijana jinsi atakavyo kuwa anajibu maswali yangu, na pia tutamsoma na huyo baba yake tapeli” alisema Mahamud, “ni kweli, lakini baba Soraya, tuna takiwa tuwe makini sana kwa maneno ya Talib, mtu mwenyewe….” kabla mama Soraya hajamaliza kuongea mara mlango wa chumba chao ukagongwa, ni mara chache sana kutokea jambo kama hilo, yaani kugongewa mlango wakati wameingia kulala, “nani wewe na unashida gani?” aliuliza mama Soraya kwa sauti ya kiamri amri, huku akizuwia hofu ndani yake, maana kumbuka Soraya aliondoka jioni ile na walikuwa ni kama wamekosana Lugha, japo aliondoka akiwa na kijifuraha fulani, “samahani mama ni mimi Subira, nilikuwa nauliza kuhusu funguo za mlango wa nyuma, sijui mulichukuwa mmoja wapo maana naona upo mmoja na sio miwili kama ilivyo kawaida” alisikika Subira mfanyakazi wa Soraya, yaani yaya, hapo mama Soraya akamtazama mume wake.... ENDELEA NAYO


TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SABINI NA TANO
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA NNE: “nani wewe na unashida gani?” aliuliza mama Soraya kwa sauti ya kiamri amri, huku akizuwia hofu ndani yake, maana kumbuka Soraya aliondoka jioni ile na walikuwa ni kama wamekosana Lugha, japo aliondoka akiwa na kijifuraha fulani, “samahani mama ni mimi Subira, nilikuwa nauliza kuhusu funguo za mlango wa nyuma, sijui mulichukuwa mmoja wapo maana naona upo mmoja na sio miwili kama ilivyo kawaida” alisikika Subira mfanyakazi wa Soraya, yaani yaya, hapo mama Soraya akamtazama mume wake. mutaniwia radhi kwa ufupi huu, ni kutokana na kukosa muda wa kukaa chini kulikosababishwa na majukumu mbali mbali,…… ENDELEA ……..
ambae pia alikuwa anamtazama, wote wakashusha punzi ndefu ikionekana wote wawili walikuwa na hofu inayo fanana, na sasa walikuwa wameiondoa hawakujuwa kuwa swala la funguo ndio zito zaidi, “atakuwa Soraya amechukuwa kwa dharula kama atarudi baadae” alijibu mama Soraya akionyesha kudharau swala lile la funguo, “haa! amenishtua, mimi sijui nilidhania kuna nini kimetokea” alisema mama Soraya, huku anapelaka mkono ikulu kwa mume wake na kugusa dudu ambayo ilikuwa imetulia kimya kabisa pasipo dalili ya kuhitaji mlo wa usiku, “mwenzio nilijuwa ni taarifa mbaya ya Soraya” alisema Mahamud huku anausikilizia mkono wa mke wake, ambao sasa ulianza kuchezea chezea dudu yake taratibu na kumfanya mzee huyu wakiarabu ajisikie msisimko fulani wenye kuleta raha “wewe kama mimi, nilidhania hivyo hivyo” alisema mama Soraya huku anaendela kuchezea dudu ya mume wake aliyoijaza mkononi, ambayo sasa ilikuwa imeanza kututumka na kuvimba kwa hasira, hapo mama Soraya akamtazama mume wake kwa macho malegevu, “yaani ukibipiwa tu unapokea” alisema mama Soraya kwa sauti ya kivivu pia, huku anasogeza mdomo wake kwenye mdomo wa mume wake, mkono wake akiuacha ukichezea dudu ya mume wake, “namba nyingine ukizibip hazibipiki” alisema Mahamud kwa sauti ya kivivu huku anacheka kivivu pia na kuudaka mdomo wa mke wake na kuanza kupeana juice, sambamba na vurugu za mikono yako, ambayo ilikosa utulivu na kutembea sehemu mbali mbali, kwenda kuwaamsha waliolala.*******
Tayari Soraya na Higgno walikuwa wamesha maliza kula, na sasa walikuwa ndani wakimulikwa kwa mwanga wa taa ile ya kuchaji wamejilaza kitandani kama waliyo lala jana, yaani Higgno, upande wa ndani na Soraya upande wa ukutani wamejifunika shuka moja, lakini leo miili yao ilikuwa inagusana bila hata mmoja kumuogopa mwenzie, japo Soraya alikuwa amelala na gauni lake jepesi huku Higgno akiwa amevalia bukuta yake, lakini bado kila mmoja aliweza kulihisi joto la mwenzie lililowaletea misisimko, hasa Higgno ambae dudu ilianza tutumuka na kusimama, akijitahidi kujizuia ili soraya asiione hali ile akihofia kuonekana kuwa ni mlafi wa kitumbua, na ukizingatia jana alitoka kula kitumbua hicho na kumjeruhi binti wa watu ambae aliondoka kwa mwendo wa kuchechemea.
Kimya kilitawala kwa dakika kadhaa, kabla Soraya hajaanza kucheka cheka kiaibu akionyesha kuwa kuna jambo anataka kusema lakini anaona aibu, “mwenzio mama alijuwa kama nimesha fanya, lakini hajanigombeza” alisema Soraya huku anajichekesha na kujiinua kidogo na kuenda kulaza kichwa chake kifuani kwa Higgno akificha uso wake, huku maziwa yake magumu yaki gusa mbavu za Higgno na kumzidishia munkali ambao ulifanya dudu izidi kusimama, “weeee! alijuwaje sasa?” aliuliza Higgno kwa mshangao, huku mkono wake ukichezea nywele ndefu za mschana huyu, “si vile nilivyo kuwa natembea, nilimdanganya nimejikwaa lakini wapi, badae akaniambia ukweli” alisema Soraya, akiwa anainuwa uso wake na kumtazama Higgno usoni macho yao yalipokutana Soraya akarudisha tena uso wake kifuani kwa Higgno, safari hii alipandisha mguu juu ya mapaja ya Higgno na kufanya eneo la paja lake kugusa dudu iliyosimama vyema, “pole sana kumbe uliumia sana, kumbe mpaka nyumbani ulifika unachechemea” alisema Higgno huku kwa sauti ya upole iliyojaa upendo, “ndiyo niliumia, lakini nimeshapona” alisema Soraya kwa sauti fulani ya kudeka, huku anachezesha paja lake lililo lala juu ya dudu ya Higgno iliyosimama na kufanya kama anaisugua sugua, sijui alikuwa na maana gani, ila alionekana kupendezwa na kile alichokifanya, “pole sana, mi nilijuwa isingeuma sana” alisema Higgno akitaka kuonyesha kuwa anamjali mpenzi wake, Soraya akajichekesha tena kwa sauti ile ile tamu iliyojaa aibu, safari hii akiupeleka mkono wake kwenye dudu ya Higgno na kulaza kiganja cha mkono wake kwenye dudu hiyo, iliyotutumuka na kuwa ngumu kama muhogo, “lakini mwenzio nimeshapona kama ukifanya taratibu sitoumia” ilikuwa ni sauti nyororo na nyembamba iliyojaa aibu ya Soraya, iliyoambatana na kijicheko chake cha aibu aibu, kuomba dudu sio kazi ndogo, hapo Higgno akajuwa kuwa Soraya alikuwa anahitaji dudu, Higgno nae alietabasamu kimoyo moyo, alipeleka mkono mmoja kwenye kiuno cha Soraya ambae sasa nusu ya mwili wake ulikuwa juu yake na kuanza kupapasa taratibu akizunguka kiuno toka nyuma kuja mbele, akifuata ule mstari unaoshuka kitumbuani na kumfanya Soraya ajisikie msisimko wa ajabu, “si univue gauni ili unichezee kama jana” alisema Soraya kwa sauti ile ile ya kivivu, hapo Higgno hakuzubaa, akalikamata gauni la Soraya kwa chini na kuanza kulipandisha juu huku Soraya akijiinua kidogo kumpa nafasi mpenzi wake huyu kulivua gauni hilo, “lakini tuanze kufanya kama jana, usije kuingiza yote” alisema Soraya wakati anavuliwa gauni, akimaanisha kuwa anataka wafanye kama jana, yaani vile alivyo jipimia.******
Saa kumi na moja na robo Mahamud akiwa ana jiandaa kuelekea ofisini, ambako alipanga akamalize kazi zake mapema ili aje nyumbani kwaajili ya ugeni, mara akamuona Talib anatoka kwenye nyumba anayokaa na kueleka getini kwa tahadhari kubwa sana, kisha akaongea jambo na mlinzi, halafu akatoka na kutokomea nje, “mh! au ndio anaanza upelelezi wake” alisema Mahamud huku anatabasamu, “vipi mwenzangu mbona kama una jitabasamulia mwenyewe” aliuliza mama Soraya, ambae alikuwa anatokea bafuni, “mpwa wako ana nifurahisha sana, yaani kumuambia aanze upelelezi ameanza mara moja” alisema Mahamud huku anacheka cheka, “mh! umeona nae asubuhi hii?” aliuliza mama Soraya nae akicheka kama mume wake alivyocheka, “nime muona anatoka, unadhani anaeleka wapi mapema hii, lazima atakuwa anenda kufuatilia habari za yule kijana” alisema Mahamud ambae alionyesha kuanza kumuamini sana Talib, lakini ikawa tofauti kwa mke wake, ambae alionekana kutulia ghafla, “hivi mume wangu, ulishajaribu kumchunguza Talib tabia zake toka alipoamua kubadilika?” aliuliza mama Soraya kwa sauti ambayo ilionyesha wazi kumtilia mashaka Talib, “uchunguzi wa nini wakati anaonekana wazi kuwa amebadilika, na anasimamia vyema biashara zake?” aliuliza mzee Mahamud, akionyesha kupingana na mawazo ya mke wake, “lakini baba Soraya kuna umuhimu wa kumchunguza Talib ili tujiridhishe kama kweli ameacha matumizi ya bangi na hiyo biashara kama ipo” alisema mama Soraya ambae alikuwa anafahamu fika kuwa Talib bado anavuta bangi, “unajuwa mama Soraya kuna kitu unashindwa kuelewa, baada ya kumfuatiia Soraya kama kweli analala kwa Laylah au kwa huyo kijana wewe unamfikiria vibaya Talib ambae amekupa habari muhimu za huyo kijana na baba yake Tapeli” alisema Mahamud, akionyesha kuwa anaamini kuwa Talib alikuwa anasema ukweli juu ya kijana mpole ambae walisha mgundua jina kuwa anaitwa Higgno.**********
Naam mama Hilda aliamka saa mbili, kutokana na jana kulewa sana ulanzi, alimkuta mwanae Hilda akiwa amesha maliza kuchemsha viazi na uji, na sasa alikuwa amemtengea mwanae mdogo, yani yule mtoto wa Talib, “naona leo umeweza kutembea” alisema mama Hilda, huku anaeleka kwenye mtungi wa maji ulipo pale nje na kuchota kidogo ili anawe uso, “yule mzee Kiboko, yaani alichonifanya sina hamu” alisema Hilda, ambae alikuwa amekaa na mwanae aliekuwa anafakamia viazi uji bila sukari, na sasa anajiandalia mwenyewe viazi na uji, “yule kiboko, yaani bila kuwa king’ang’anizi mimi ningempa tena, lakini kwa hali ile mh! mwenzio siwezi” alisema mama Hilda, ambae hakukumbuka habari za mgonjwa, “kweli yule mzee mchawi, yayni uchi unawaka moto lakini cha ajabu bado nilikuwa najisikia kutamani tena” alisema Hilda bila kujali mwanae mdogo yupo pale pale, “bibi kwani babu yupo wapi?” aliuliza mjukuu wa mzee Komba na hapo ndio kama mtoto aliwakumbusha, “halafu kweli mama, hivi baba tuta muambia nini?” aliuliza Hilda akikumbuka kuwa baba yake alisikia walivyo kuwa wanapeana habari ya mabudi, kwa hiyo inamaanisha amesha juwa kuwa wametembea na babu huyo kwahiyo wamechangia dudu, “haaaa! atajiju, yeye kilicho mtuma aje atusikilize ni kitu gani” alisema mama Hilda kwa dharau, huku anamaliza kunawa uso na kuingia ndani, Hilda akatafakari kidogo kisha akaachia kimsonyo cha shauri zao, “wao si ndio mke na mume, watajuwa wenyewe” alijisemea Hilda huku anaendelea kula viazi na uji wake ambao haukuwa na tonye la sukari, ni kawaida yao hata sukari aliionja kipindi wanakaa kwa kina Higgno.
Naam wakiwa wanaendelea kunywa uji, mara akaja nurse wa zahanati ya kijiji akiwa ameongozana na mwenyekiti wa kijiji, “hodi jamani naona tumewahi muda wa chai huu” alisema mwenyekiti kwa sauti ya ucheshi, japo wa kulazimisha, maana alishaidharau sana familia hii kwa mambo waliyo kuwa wanayafanya, hasa kitendo kile cha kumsingizia kijana Higgno kuwa anatemba na mschana huyu maarufu kama tembele la uwani, “karibuni” alijibu Hilda kwa sauti kavu, huku kiroho kikimuenda mbio, akidhania kuwa ameletewa taarifa mbaya juu ya baba yake.
Baada ya kusalimiana na kuitwa kwa mama Hilda, nurse akaanza kueleza ujumbe wake, “nimepigiwa simu toka hospital ya mkoa, kuwa kutokana na gharama za kwenda mjini kila siku wameona wamwamishe mgonjwa aje huku, ili muweze kumpatia huduma kwa ukaribu zaidi, hivyo ameshapewa uhamisho na hapo wanasubiri gari la halmashauri ambalo linaleta dawa za shule ili lije na mgonjwa, kwahiyo saa sita mchana muje Hospital atakuwa ameshaletwa” alisema Nurse ambae alitegemea kuwa huo ujumbe ungepokelewa vyema na wanafamilia hawa, lakini cha ajabu ilikuwa tofauti kabisa na walivyo tegemea, “sawa” ilikuwa ni sauti ya kinyonge ya mama Hilda, hata wawili hawa, yaani nurse na mwenyekiti walipoondoka, waliwasindikiza kwa macho makali kama vile wamewaletea taarifa ya wito wa polisi.
“wanakimbelembele, nani kawaambia sisi hatuwezi kwenda huko mjini, kwani wao si ndio kazi yao ya kumhudumia” alisema mama Hilda kwa sauti kavu iliyo jaa chuki, huku anarudi ndani ambako alivaa upande wa pili wa kitenge chakavu, kisha akaenda kwa mzee Ngonyani ambae mara nyingi mashamba yake yapo makemba ambako, kuna dada wa mzee Komba, ambae ameolewa huko, lengo nikumuagiza kwa dada huyo wa mzee Komba akamueleze kuwa kaka yake anaumwa na kwamba aje amuuguze kaka yake.*******
“Laylah hivi simulizi mzuri kama hii TEMBELE LA UWANI bongo movie wanashindwa kutengenezea filamu mzuri wakauza? "hata hawashindwi tena kama hii hata haihitaji gharama kubwa hiiivyo sijui hata wanakwama wapi" alijibu Laylah " basi hebu tusikilize maoni ya watu wa JamiiForums wao wanasemaje kuhusu hili, na kama watataka tuwaandikie simulizi kwaajili ya move mzuri zaidi ya hii ni maelewano tu" alisema Soraya kisha akauliza tena baada ya ukimya mfupi "Layla hivi siku ile ulivyoumwa tumbo ulikunywa nini kwa Talib?” aliuliza Soraya, akiwa na Laylah, wakiwa njiani ndani ya gari wanaelekea mjini, wakitokea shambani kwa Higgno, Laylah akacheka kidogo, “nilikunywa Juice, umejuwaje?” aliuliza Laylah, aliekuwa anaendesha gari, “alikutegea ili usinipeleke shamba, ili nitekwe halafu wapewe hela kisha waniuwe” alisema Soraya ambae alikuwa anajihisi kiuchovu fulani ambacho hakujuwa kama ni cha usingizi wa kuchelewa kulala usiku au ni uchovu wa kurudia mara nne tendo la ndoa, huku mara zote akifika panapo takiwa na kumfanya azidi kufurahia dudu ya mpenzi wake Higgno, pasipo kujutia kupoteza uschana wake, “sijakuelewa Soraya, sasa juice ya Talib na kutwekwa kwako kuna husiana nini?” aliuliza Laylah, akionyesha kuwa hakuwa anamuelewa boss wake Soraya, “mh! umesha nielewa sema haujaamini ninacho kisema, ni hivi, Talib ndie alie panga mpango wa kuniteka mimi, ndio maana akakupa juice, sijui aliweka nini, lengo lake uharishe ili niende peke yangu ili wenzake waniteke” alieleza Soraya, “weee! unasema kweli ni Talib ndie aliewatuma watu wakuteke?” aliuliza Layalah kwa mshangao, sio kwamba waniteke tu! yeye aliwaambia kuwa wakishapata fedha waniuwe kabisa” alisema Soraya kwa sauti yenye masikitiko, “jamani Talib, kweli bangi zinamtuma vibaya, ndio maana wakajifanya eti fedha asiwapelekee mtu yoyote zaidi ya Talib, kumbe mpango ulikuwa ni wao wote” alisema Layalah, kwa sauti ya ung’amazi, “halafu eti ana waambia wakina baba kuwa Higgno ndio aliwatuma watu waniteke” alisema Soraya, huku anaingiza mkono kwenye mkoba wake na kuipapasa ile simu ya wale watekaji wake, ambayo iliokotwa na Higgno, alipoigusa akaiacha na kutoa mkono wake ndani ya mkoba, “mshenzi sana Talib, sasa akikuuwa atapata nini?” aliuliza Laylah, ambae sasa alikuwa anapunguza mwendo kuingia barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania, “hata mimi sijui, na jana ametuma sms anasema tayari amesha chukuwa funguo, na kwamba wasifanya makosa kama waliyo yafanya kule shamba” alisema Soraya, ambae pia hakuonyesha kama anatambua maana ya funguo ile, “kwahiyo anataka wavamie nyumbani kwenu?” aliuliza Laylah kwa mshangao uliochanganyika na uoga, “pengine wanataka kuvamia ndani, si unakumbuka zamani alikuwa anaiba vitu vya ndani anaenda kuuza?” alisema Soraya akimkumbusha Laylah, matukio ya nyuma ya Talib, “sasa wewe umeamua nini?” aliuliza Laylah, wakati huo alikuwa amesha kanyaga mafuta mengi kueleka mjini, ……… ITAENDELEA...
 
Hulithi chochote na hapa nisikuineo
downloadfile-11.jpg
 
Hata team Twalib mpoo, kuna ujumbe wenu huku endeleeni kuwa na ndoto za kwenda Daslam kula kuku kwa mrija huku mkichukua watoto wakali wale wa kaole sijui akina Yasinta au Monalisa
Nasema hivi round hii haina kufeli na daslam tunaenda
 
TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA HAMSINI NA TATU
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI : Wote wakijihisi mikojo imebana na kuwatekenya sehemu zao za siri, kila kiungo cha uzazi cha kila mmoja wao kikitamani kupewa haki yake, .“Higgno tujaribu kufanya” alinong’ona Soraya kwa sauti iliyozidiwa na pumzi ambazo sasa ni kama zilikuwa zina mtoka juu juu, huku anaivuta dudu kuitoa ndani ya kaptulah, “hoo! samahani jamani kumbe bado mumelala” wote walishtushwa na sauti ya kike…….. ENDELEA………….
Toka mlangoni kwa haraka sana na mshtuko wa hali ya juu, Soraya aliacha alichokuwa anakifanya kwa kuisokomeza dudu ndani ya bukta huku Higgno akimfunika haraka Soraya na wote wakatazama mlango ambao ulikuwa umezuiliwa na kichanja cha miazi, ambacho kilikuwa nusu wazi, wakamuona Layla akiwa amesimama mahali hapo ana wakodolea macho, “hooo! Laylah mbona mapema sana, kwani saa hizi ni saangapi?” aliuliza Soraya huku wote yaani yeye na Higgno wanainuka toka kitandani, inakaribia saa moja na nusu da’ Soraya nimepigiwa simu na baba nikamwambia kuwa unaoga” alielezea Laylah, huku anarudi nyuma asitazame kile alichokiona mbele ya kapturah ya Higgno kijana mpole, “sijui alinipigia?” aliuliza Soraya huku anaenda kwenye meza ndogo alipoweka simu yake akaichukuwa na kutazama, kwanza alikutana na miseed call ya baba yake kisha akatazama muda, ilikuwa ni saa moja na dakika ishirini na saba, “sikuisikia hata kidogo” alisema Soraya huku anaiweka simu mezani na kupeleka mkono kwenye mkoba wake, lakini kabla hajaufungua ni kama aliona kitu fulani pale mezani, akaghairi kufungua mkoba, “hoo! Higgno kumbe una simu, basi utanipatia namba yako” alisema Soraya huku anachukuwa simu nyingine ndogo iliyokuwa mezani, “hapana sio simu yangu, ni ya wale jamaa walio kuvamia siku ile pale shambani kwako” alisema Higgno huku akionyesha wazi kujawa na aibu kwa kufumaniwa na Laylah, ambae sasa alikuwa ametoka nje kabisa, “mh! kumbe uliwapiga mpaka wakakimbia na kuacha simu yao?” aliuliza Soraya huku anaitazama ile simu, ambayo ni kweli ilifanana sana na ile ya wale jamaa waliomteka, simu ambayo walikuwa wanaitumia kuogea na baba yake na pia kutumiana ujumbe na mtu aliekuwa anawapa maelekezo.
Naam wakati Soraya anaitazama ile simu mara akasikia simu yake inaita, akaitazama ikiwa pale mezani akaona jina la mpigaji ni baba yake, akaichukuwa na kuipokea, “assalamu alaykum baba” alisalimia Soraya kwa sauti ya upole na tulivu, “waalaykum salam Soraya, vipi umeamka salama?” aliuliza Mzee Mahamud kwa sauti iliyo changamka, “nimeamka salama baba ndio najiandaa kurudi nyumbani” alisema Soraya huku akimtazama Higgno kwa sura ya tabasamu, “ok! mimi naelekea ofisini jitahidi uwahi kufika ofisini ili tuyachambue yale majina na kuyapa kipa umbele yale tunayo yahitaji” alisema mzee Mahamud kwa sauti ile ile changamfu, “sawa baba sasa hivi nitawahi nyumbani kubadili nguo na kuwahi ofisini, “alisema Soraya kwa uchangamfu, kisha wakakata simu, Soraya akamgeukia Higgno kwa macho ya tabasamu, macho yao yakakutana, hivi ukikutana na baba yangu hauto muogopa?” aliuliza Soraya huku anageuka na kuchukuwa mswaki kwenye mkoba wake akauweka dawa na kumgeukia tena Higgno, “mh! kwanini nimuogope, labda kama nitakuwa nime mkosea jambo fulani” alisema Higgno, “kwani huoni kama kulala na mtoto wake wa pekee ni kumkosea?” alisema Soraya kwa sauti ya utani, huku anamsoegelea zaidi Higgno, lakini akishindwa kumtazama usoni, “kweli hapo tume mkosea” alisema Higgno huku akimuona Soraya anamkubatia kwa kuzungusha mikono mabegani kwake, “usiogope sisi ni wapenzi, ni haki yetu kulala pamoja” ilikuwa ni sauti ya kunong’ona toka kwa Soraya ambae alijiunganisha na Higgno kuanzia kifua tumbo na hata kinena chake, ambacho kilikuwa kimeguswa na dudu ya Higgno, iliyo simama kweli kweli, mguso ambao ulimfanya Soraya ajihisi msisimko ule ule kama alioupata kitandani, akaona isiwe tabu, hivyo akajitoa kwa Higgno, “naomba maji ya kupigia mswaki” alisema Soraya kwa sauti iliyomezwa na pumzi nzito iliyosababishwa na kuzidiwa na msisiko ambao ulipelekea ngozi ya mschana huyu iweke vitu kama vijipele ya baridi, hasa sehemu zake za mikono shingo kifua na mapaja yake.
Naam, hapo Higgno akachukuwa kikombe kikubwa na kuchota maji, kisha wakatoka nje wakiongozana, nje walimkuta Laylah amesimama pembeni kidogo ya kibanda umbali kama wa mita kumi hivi, gari lilikuwa imeegeshwa kule barabarani, jiko nalo palionekana pamefunikwa bati kubwa sana na juu yake kulikuwa na mawe kadhaa makubwa, likiwa ni lengo la Higgno kuzuia viumbe walafi kama fisi wasije kupita na samaki au nyama, “nisubiri nipige mswaki tuondoke, “alisema Soraya kimueleza Laylah aliekuwa amevalia gauni refu na ushungi chwani mwake na viatu vya mikanda miguuni mwake, “sawa ila tujitahidi si unajuwa kuwa unatakiwa kuwahi ofisini” alisema Laylah, ambae sasa alikuwa anashindwa kuwatazama wawili hawa, waliokuwa wanaongozana kuelekea nyuma ya kibanda hiki cha udongo kilichoezekwa kwa vipande vya bati.
Wawili hawa walisaidiana kunawa huku Higgno akimsaidia Soraya kummiminia maji huku wakiongea mawili matatu, dakika chache baadae tayari Soraya alishajiandaa na kupewa baaddhi ya zawadi za kubeba kwao, ikiwa ni pamoja na kanga wa porini wazima na samaki walio banikwa, kisha wakaagana kwa furaha baada ya Higgno kuwa sindikiza mpaka kwenye gari akiwa amewabebea mihogo michache ambayo ilichimbwa haraka haraka kwasababu ya muda, wakina Soraya waliingia ndani ya gari na kuondoka bila kusema lolote kuhusu penzi lao, japo usoni kwake alionekana kujawa na furaha na aibu yakushindwa kumtazama Higgno usoni, hata gari ilipotoweka Higgno akabakia njia panda hakujuwa atampataje tena huyu mschana, “yaani ilibakia kidogo tu!” aliwaza Higgno wakati anarudi kibandani kwake.******
Yap! saa mbili kasoro dakika tano, ndio muda ambao Hilda alitoka nyumbani kwao na kuelekea Linjumbwi kwa mganga mabudi, kumpa matokeo ya kuungua kwa duka la bwana Frank, “hivi inawezekana tumefanya vile kwaajili ya dawa za mzee Mabudi?” aliwaza Hilda, ambae alianza kuhisi kuwa uamuzi wa kuchoma duka aliomshauri Talib ulikuwa ni nguvu za kishirikina za babu Mabudi, alisha sahau kuwa ni pombe bangi na kisasi cha Talib, “yule babu ni kiboko, yaani siku chache tu tayari mambo yamejipa, sasa leo ni kamwambie abadili dawa baada ya Higgno ampumbaze Talib, kwasababu wa kina Higgno watakuwa masikini” alijisemea Hilda, ambae alienda mbali na kuvuta picha jinsi Higgno atakavyo kuwa anasimama pembeni ya barabara, nakulitazama gari alilikuwa anaendesha Talib na yeye akikaa pembeni huku katoto kao kakicheza seat ya nyuma likiwa linapita mbele yake, “na akome kuingilia mambo ya watu” alisema Hilda ambae hakujuwa ni mambo gani ambayo Higgno aliyavuruga yanayo muhusu Talib.
Umande uliojaa kwenye nyasi zilizoinamia njia hafifu ya kuelekea mashambani huko Linjumbwi, ulimlowesha Hilda miguuni na kulowesha vumbi, lililo anza kung’ang’ania kwenye miguu ya Hilda na kutengeneza tope, ambalo lilianza kutengeneza utelezi uliosababisha mschana huyu mwenye akili kisoda kuvua kanda mbili zake na kwenda mwendo wa bata, yaani peku peku, huku kichwani mwake akiwaza jambo fulani ambalo alitamani sana kama angelipata kwa babu mabudi kabla hajaondoka kule Linjumbwi, hakuna kingine alitamani sana kuona dudu ya babu mabudi ikipenya kitumbuani kwake, alihitaji kuupata utamu alioupata siku ile kwa muda mfupi.********
Mzee Mahamud baada ya kuona na binti yake ambae alikuwa katika hali ya uchangamfu aliridhika sana, akanywa chai vizuri na kuaga kwa mke wake akielekea kule NMC ziliko ofisi za kampuni yake, huku njiani akiwaza mambo mawili matatu juu ya familia yake akianza na binti yake, “leo anaonekana ameamka akiwa mchangamfu sana, kumbe kubadili mazingira kume msaidia” aliwaza Mahamud ambae alikuwa anaendesha gari lake mwenyewe, ni lile Nissan patrol, “nadhani ni njia nzuri kwa Soraya kuondoa mawazo juu ya kile kilichotokea juzi” aliendelea kuwaza mzee Mahamud, ambae kiukweli, anampenda mwanae kupita kiasi, “Laylah, ni mschana mwema sana na ana tabia njema, maana amekuwa nae toka akiwa anasoma, sasa kama angekuwa ni mwenye tabia mbaya mpaka sasa Soraya angekuwa amesha onyesha tabia za ajabu, sina wasi wasi pale Soraya atakapo hitaji kwenda kulala kwa kwake maana kwa sasa ni kama rafiki yake tu!” aliwaza mzee Mahamud, ambae kuna kitu ambacho watu wengi hawakujuwa kuhusu yeye, ni kwamba Mahamud, alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa huko kwao oman, ni kwamba baba yake Abdulkarim tajiri mkubwa sana huko kwao Oman, alizaa na mfanyakazi wake wa ndani ambae pia alikuwa ni mschana mdogo masikini wa kiarabu, aliefahamika kwa jina la Aisha, kitendo hicho ambacho kilileta mtafaruku mkubwa ndani ya familia ya bwana Adulkarim yenye wake wanne na watoto kumi, na kutaka kuleta kashfa ya hali ya juu kwa tajiri huyu mkubwa nchini Oman, huku ndugu na jamaa pamoja na watoto wakubwa wa mzee huyu ambao walishafikisha miaka thelathini na mwingine ishirini na tano, walioshirikiana na mama zao kuhitaji kumuangamiza mtoto huyo wa kiume ikiwa ni chuki kubwa sana juu ya utajiri wa baba yao.
Hivyo basi mzee huyu tajiri akaenda kumficha Aisha na mwanae Mahamud kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni yake, ambae alikuwa anaishi na mfanyakazi wake toka nchini tanzania mkoa wa Ruvuma alieitwa Shani, ikiwa ni jina la kujibatiza kwaajili ya kupandia ndege kwenda omani, huku jina lake halisi likiwa ni Kachiki Matomondo.
Maisha yaliendelea huku Abdulkarim, akimtuma yule mfanyakazi wake wa kwenye kampuni yake kupeleka mahitaji kwa Aisha na kijana wake Mahamud ambae aliendelea kukuwa kwa kimo na akili, huku Aisha akiwa karibu sana na Shani ambae sasa ndie alikuwa kama rafiki yake, walitaniana na kuongea mambo mengi ya nchi aliyotokea Shani, ambae kwao alikuwa anaitwa Kachiki, ambae alimfundisha baadhi ya maneno ya Kiswahili na mpaka una katika mwaka tayari Aisha alikuwa anauwezo mdogo wa kuongea Kiswahili.
Siri haikudumu sana, kabla watoto wakubwa wa Abdulkarim hawajagundua sehemu ambayo mdogo wao alikuwa amefichwa, lakini mzee Abdulkarim aliweza kugundua hatari inayo mkaribia kijana wake mdogo, hivyo akaongea na yule mfanyakazi wake anaemtunza Aisha na kumuomba kuwa awasafirishe Aisha na Shani kwenda nchini Tanzania, ambako wangeishi huko maisha yao yote,
Ilikuwa hivyo Mahamud alisafiri akiwa na mwaka mmoja na nusu, mama yake akiwa na miaka ishirini na saba, wakiwa na akiba kubwa sana ya fedha, ambayo haikuwa msaada pekee toka kwa baba yake Mahamud, maana ile wanafika tu walipokelewa na tajiri mmoja ambae kwa nchi kama Tanzania tungesema ni mkubwa sana, ambae alikuwa ni mshirika wa kibiashara wa Abdulkarim, huyu anaitwa Shaban ambae hakuwa mwarabu kamili, ila alikuwa ni maarufu sana kwa ufadhili wa timu ya mpira wa miguu ya maji maji, ambayo ilikuwa inapatikana mkoa huo wa Ruvuma katika mji wa Songea, ambae alisha tumiwa fedha nyingi kwaaajili ya maandalizi ya kuwaandalia sehemu ya kufikia Mahamud na mama yake, huku akiwafungulia duka kubwa ambalo kwa kipindi kile kama lingemilikiwa na mwenyeji ilikuwa ni lazima uhojiwe na serikali na ueleze umetoa wapi mtaji wa kumiliki duka kama hilo, ukiachilia nyumba kubwa ambayo mpaka sasa Mahamud anaishi na familia yake, akiwa ameshaifanyia ukarabati mkubwa na kuongezea vijumba vidogo vidogo na uzio mkubwa,
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa maisha ya Mahamud ambae alimpoteza mama yake akiwa na miaka ishirini na nne tu! miaka miwili baadae akaamua afunge ndoa na mama Soraya, ambae alisoma nae shule ya msingi na kupoteana sekondari wakija kukutana miaka sita baadae wakiwa wamesha maliza shule na Mahamud anafanya kazi ya kumsaidia mama yake katika biashara zake, na walidumu wakiwa marafiki mpaka mama yake yaani Aisha alipoaga dunia na yeye akakaa miaka miwili na kufunga ndoa na mama Soraya, ambae tayari alikuwa mjamzito, wa miezi nane, lakini sasa alikuwa anawasiliana na baba yake moja kwa moja, hata baada ya mwezi mmoja mke wake alijifungua salama mtoto wakike na ndie Soraya.
Miaka michache baadae Abdulkarim alibaini kuwa alikuwa anasumbuliwa na maradhi mabaya ya kisukari, na ilishamshambulia kwa kiasi kikubwa sana, ukichanganya na uzee aliona kupona ni kazi ngumu sana, hivyo akampatia fedha nyingi sana mwanae na kumsaidia kufungua kampuni ya usafirishaji, ikiwa ni magari ya mizigo na magari ya abiria ya kisasa, akiwa ni mmoja wa watu walioleta mabasi ya kisasa nchi Tanzania na kujizolea abiria wengi sana, na ndio wakati ambao Abdulkarim alipoamua kuwapatanisha watoto wake, lakini ilikuwa ni vigumu sana kwao kukubaliana na baba yao.
Baada ya mzee Adulkarim kufariki na mazishi kufanyika huku Mahamud akihudhuria na familia yake, yaani mke wake na binti yao Soraya ambae alikuwa na miaka miwili, ndipo Mahamud alipoomba kuongea na ndugu zake akaomba kutambuliwa na ndugu zake kama yeye ni mdogo wao wa mwisho japo hakuhitaji chochote kinachohusu urithi wa baba yao, yeye alichohitaji wamtambue kama ndugu yao, licha ya kuwa alikuwa na ndugu zake upande wa mama yake, ambao wale wakaribu yeye ndie alielazimika kuwatunza na kuwapatia mitaji midogo midogo, ya biashara za kujikimu.
Ukweli baada ya kugawana mali za marehemu baba yao, kaka zake Mahamud ndipo walipo mkubali Mahamud kama ndugu huku wakimpatia shati na suruali kama urithi wa baba yao, sasa waliweza kushiriakiana na Mahaumd wakimtumia kama wakala wao kule Tanzania na biashara zao zikizidi kutanuka na kufanikiwa zaidi.
Sasa basi, Mahamud akiwa na Soraya kama mtoto wake wapekee, alimepnda sana na kumtunza vyema huku akiswali kila siku binti yake asikutane wala kupitia maisha aliyopitia mama yake, au yeye mwenyewe, na hii ndiyo sababu ya Mahamud kumpenda sana binti yake na hakutaka mtu yoyote aunyanyase moyo wa mwanae, hasa kwa watu wakaribu na mwanaume atakae muoa.
Mahamud aliingia eneo la ofisi yake, ambapo alikuta wafanyakazi wake wakiwa wanaendelea na kazi zao, lakini alishangaa kuona wakiwa wanamtazama kwa macho fulani ya kumshakia, (kumtilia shaka) yeye hakujali sana akashuka kama ilivyo kawaida, akaingia ndani ya ofisi na kujifungia kisha akajikagua pengine alikuwa amevaa tofauti ndio maana wafanyakazi wake wana mtazama kwa macho ya mashaka, lakini alikuwa sawa kabisa hakuwa na dosari yoyote.*******
Kitu ambacho bwana Mahamud hakuwa anakijuwa toka jana usiku kuna baadhi ya watu walikuwa wana tumiana sms kuwa imebaini kuwa tajiri mkubwa Mahamud ana lazimika kulala na binti yake kingono, ikiwa ni imani ya kishirikina ambayo ina husishwa na biashara yake ya usafirishaji, sms ziliendelea kueleza kuwa jambo hilo linalo fanywa na Mahamud ni kwamba hata mke wake analifahamu na hawezi kuliacha kwasababu ya kuokoa biashara yao, ikiwa ni shariti la mganga wao ndio maana wanatumia kila njia kumzuia binti yao asiolewe na kijana Idd Mahadhi, mwisho ukimalizia kwa kusema, “watumie wenzako wafahamu”.
Ukweli ujumbe ule ulisambaa kwa kasi ya ajabu, watu wakitumiana kwa fujo, ukweli watu wengi walishtuka sana kwa tukio lile japo mschana mwenye anaezungumziwa kwasababu hakuwa na umaarufu sana kutokana na kujifungia sana ndani na kujiziba uso anapotoka nyumbani kwao, pia wapo waliopingaswala hili kwasababu wanamfahamu Idd kuwa ni kijana muhuni anaevaa kanzu kama kificho cha mambo yake.
Kwa muda mfupi taarifa hizi zilisambaa karibu nusu ya eneo lote la katikati ya mji wa songea.******
Soraya na Laylah walioanza safari kimya kimya, walitembea huku kila mmoja akitafakari la kwake kichwani mwake, “mh! yule kijana akivua shati anaonekana ni mzuri sana, Soraya amefaidi usiku kucha” hayo yalikuwa mawazo ya Laylah, ambae alikuwa anaendesha gari kwa speed ya kawaida, huku mara chache akimtazama Soraya kwa kioo cha kati cha kutazamia nyuma, akimuona Soraya akijitabasamia mwenyewe.
Naam baada ya kutembea kwa mwendo wa mita kama mia tano hivi, wakiwa wameshakianza kijiji cha chem chem, ndipo Laylah, alipovunja ukimya, “Soraya hujaniambia kilichotokea au ni siri yako?” aliuliza Laylah huku akiendelea kutazama mbele, na kulenga barabara, Soraya alicheka “yaani tumeongea weee! tumelala pamoja mpaka asubuhi, kumbe anaongea vizuri tu!” alisema Soraya, akionekana kuwa katika hali ya uchangamfu kubwa, “hukuogopa kufanya?” aliuliza Laylah, ambae kikawaida ni mwenye umri mkubwa sana kwa Soraya, “mh! kwani nimefanya nae?, waalaaa hatujafanya lolote” alisema Soraya, kwa sauti ya kukataa, “mh! lakini mmekubaliana kuwa wapenzi sio?” aliuliza Laylah, kwa sauti ya mshangao, maana kwa hali aliyoikuta pale kibandani halafu umwambie hawajafanya lolote usku kucha, kwa kweli kwa mwanaume rijali mbele ya mschana kama Soraya, ambae kiuhalisia kila mwanaume anaitamani nafasi ile kama ilivyo wakina Daudi 1 mhanuzi wangu finyango miana amor Che mittoga Tumwesige senior Mahimbo Jr, halafu usiguse kitumbua, “ndiyo Higgno sasa ni mpenzi wangu” alisema Soraya akionekana kuwa mwenye raha moyoni mwake, “mh! da’Soraya, kweli kuna uzima hapo?” aliuliza Laylah, kwa sauti ya kutia shaka, “tatizo gani Laylah, Higgno ananidanganya?” aliuliza Soraya kwa sauti ya mshtuko, maana alikuwa anaamini kuwa Laylah anafahamu mambo mengi kuhusu wanaume na mapenzi, “hapana hakuna mwanaume anaeweza kukudanganya, labda unaweza kuwa umempata mwanaume ambae sio sahihi, amekuambiaje kuhusu mwanamke wake wa zamani?” aliuliza Laylah, hapo Soraya akajibu kwa furaha, “wenzio wote tumekutana, na yeye hajwahi kuwa na mwanamke” alisema Soraya na hapo Layla akaguna kidogo, “mh! nilijuwa tu, wee! mwanaume kabisaaaa akuache usiku kucha” alisema Laylah, kwa sauti ya mashaka, “kwanini unasema hivyo dada Laylah, umaana Higgno..” kabla hajamaliza kuuliza, akashangaa kuona Laylah, akisimamisha gari pembeni ya barabara, kisha akageuka na kumtazama Soraya, “sikia Soraya ulishawahi kusikia habari za wanaume ambao hawana uwezo wa kufanya mapenzi?” aliuliza Laylah, “mh! sijawahi kusikia” alikataa Soraya kuwa hajawahi kusikia, “sasa kuna wanaume ambao hawana uwezo wakufanya mapenzi hata umfanyaje” alisema Laylah akishindwa kufafanua, japo alikuwa anamaanisha kuwa jamaa inawezekana kuwa jogoo wake hawezi kupanda juu ya mtungi, “kwahiyo nitajuwaje?” aliuliza Soraya kwa sauti ambayo ilianza kukata tamaa, maana hakujuwa huyo mwanaume anakuwaje kuwaje, “ukweli hata mimi sijawahi kumuona mwanaume wa hivyo lakini mwanaume yoyote yule akilala na mwanamke na kugusana nae lazima atataka kufanya mapenzi” alisema Laylah na hapo wakaongea mawili matatu, kisha Soraya akatoa maamuzi, “basi leo nitaenda kumjaribu” alisema Soraya na hapo wakakubaliana kuwa na leo Soraya akalale kwa Higgno kwaajili ya kumjaribu kama ana uwezo wa kufanya mapenzi, lakini hakujuwa kuwa kusimamisha dudu ni dalili ya kuwa na uwezo wa kufanya mapenzi, “mh! baba atakubali kweli?” aliuliza Laylah, huku ana ingiza gia namba moja na kuondoa gari taratibu, “tutaanza kumueleza tukifika tu!” alisema Soraya, huku anamtazama mzee moja aliekuwa anakuja mbele yao na baiskeri huku macho yake yakilitazama gari lao, “hooo! Laylah simamisha gari huyo mzee ndiyo atakuwa mshenga” alipiga kelele Soraya, huku akimtazama yule mzee ambae alionekana wazi kuhitaji kuongea na Soraya, maana alikuwa anashuka toka kwenye baiskeri na kuvuka barabara akilifuata gari ambalo lilikuwa limesha simama kwa mara ya pili, haya jioni soraya anaenda kwa higg wizzy kutesti mitambo, wale wenye kiu ya kutaka kujuwa kama Higgno atafanikiwa kutatua nyuzi tukutane jioni... ITAENDELEA
Saraya akitest atarudi anatembea ameachanisha miguu kama mama Hilda alipotoka Kwa mganga
 
Hata team Twalib mpoo, kuna ujumbe wenu huku endeleeni kuwa na ndoto za kwenda Daslam kula kuku kwa mrija huku mkichukua watoto wakali wale wa kaole sijui akina Yasinta au Monalisa
Aaaah sisi daslam lazima tuende ata kwa miguu😅😅
 
Back
Top Bottom