Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,528
Soon naachia ya kwangu nikiwa na mwajuma ndala ndefu 😂😁Nakosaje mambo ya msingi hapa mjini...🤨
Soon naachia ya kwangu nikiwa na mwajuma ndala ndefu 😂😁Nakosaje mambo ya msingi hapa mjini...🤨
Mganga walimdedisha au alikufa kwa sababu za kibinadamuSasa bado hujajua, mganga anakuja kupindua meza huko mbeleni hatari na nusu.
Mganga alikuwa noma, kwa bahati mbaya hatunaye tena! RIP
Nakubali, wanawake washirikina ni chakula cha waganga.
Ni kweli Mjukuu, wanasema hayo mambo hayana baunsa wala diniNi kweli Babu, siwezi kujua ila kuna kiasi kikifika hadi watu tunaona sio sawa!
To each their own.
Ujinga mtupu 😬😬Sasa si utuoneshe venye anajilamba 😁
Babu kwenye mapenzi tu huna mpinzani, nawe tukupe kombe lako!Ni kweli Mjukuu, wanasema hayo mambo hayana baunsa wala dini
Ukikamatika na mapenzi unaweza kujikuta unawakana hadi Kaka/Dada zako kwaajili ya Mume/Mke
Ndiyo maana kulikuwa na msemo "Mwonja asali huchonga mzinga.."
Nipo nafatilia Kwa makini hii story yako huku nairudia kutazama ile connection yaoSasa nitakuwekeeni story kamili, tena katika namna ambayo usingeweza kuipata kokote.
Sasa hivi amechoka hadi huruma, sijui ni hili sakata bado linamtafuna? Ila kwa uzuri hakika amejaaliwa!
Mimi nawapa uzoefu wa Mwaka 47 ujue 🤗Babu kwenye mapenzi tu huna mpinzani, nawe tukupe kombe lako!
Kuna mume wake fulani alifariki pamoja na mtoto si wambea wa mjini walikuwa wanasema yule kijana alikuwa na grid ya taifaSasa nitakuwekeeni story kamili, tena katika namna ambayo usingeweza kuipata kokote.
Sasa hivi amechoka hadi huruma, sijui ni hili sakata bado linamtafuna? Ila kwa uzuri hakika amejaaliwa!
Sasa Babu itakuwaje? Ndio nimeshtuka kwamba sikuangaliaga hizo connection enzi hizo nilikuwa mtakatifu nikakataa!Nipo nafatilia Kwa makini hii story yako huku nairudia kutazama ile connection yao
Kumbe alikuwa fundi wa kulamba ice cream za Azam 🙌
Kuna kipande anajilamba vidole vyake uku ana rembua macho kwenye camera☹️Hivi ujue hadi nimezisahau? Haki sikumbuki vizuri zaidi ya kukumbuka mwili wake ulivyokuwa na mabonde mabonde.
Hahaha.........wewe hukutaka kuongeza ujuziSasa Babu itakuwaje? Ndio nimeshtuka kwamba sikuangaliaga hizo connection enzi hizo nilikuwa mtakatifu nikakataa!
Nimecheka sana.
Mwanasheria wako kasema kwa kifupi tuu " OLE WAKO "Soon naachia ya kwangu nikiwa na mwajuma ndala ndefu 😂😁
Mhhhh wajuzi wa mambo mmeingia sasa. Ni yule hadi Menina alimkimbia wakati anaumwa au mwingine?Kuna mume wake fulani alifariki pamoja na mtoto si wambea wa mjini walikuwa wanasema yule kijana alikuwa na grid ya taifa
Basi sister nime ghairi😂Mwanasheria wako kasema kwa kifupi tuu " OLE WAKO "