Recent content by mingane kabika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Hakuna kufa mtu wala nini bali rais wako atabaki kuwa mpinzani tu. Chama chako kimetufanyia mazuri yapi mpaka iwe lazima kiongozi wenu huyo achukue nchi? Labda kama nchi itagawanyika ki ukanda anaweza kupata kanda moja tu uijuayo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijakutana na Dr. Slaa huko Marekani na Email zinazosambazwa kudai niliwasiliana naye ni feki

    Hawezi kanusha mkuu, Biashara ya siasa inalipa sana hasa katika kipindi hiki!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

    Lowassa atumia mpaka wa Namanga kutoroka wadeni wake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    Sijakuelewa mkuu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Kwa sababu ni Mushi endelea na matamanio yako!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mabosi kuwa mashoga, ni laana ama?

    Ya kweli hayo? Mgombea mwenza Ukawa dah!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka soda ya Double Cola?

    Kwa nini soda za sasa hazina gesi kali km zamani, Nakumbuka wakati huo ukinywa lazima gesi ikutokee puani na machozi yanakutoka kdg.
  8. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nchi itaongozwa km ifuatavyo. Mkuu -E Lowassa Naibu-Duni PM-Mbowe W mambo ya ndani-Lema Naibu-Anold Mtui Fedha-A Massawe Naibu-suzan Munuo Viwanda-Dr Helman Palangyoo Naibu-Evarist Nyari Ujenzi-Vincent Ngowi Naibu-Benald Shirima Natania tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

    Cafenol, aspro, andrews, sindano za penisline, gardenia, rumi! Ni hapo tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kurudisha shukrani kwa chama cha mapinduzi

    Maendeleo ni bidii yako tu hakuna miujiza mama yangu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waenda kwa miguu!

    Salama wana jf, Ningependa kutoa mawazo yangu hasa kuhusu watumiaji wa barabara hasa kwenye maeneo ya pundamilia ama zebra, kumekuwepo na namna tofauti ama uelewa tofauti kwa baadhi ya matumizi sahihi ya eneo hilo, kuna watu wanalitumia kwa kupita bila kuwa na tahadhari yoyote, mtu anakata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa UVCCM K/njaro aliyehamia CHADEMA, arudi CCM

    Na wewe umeiona hiyo eeeeh!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    Unastahili like mbili.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kijana yeyote Tafakari chukua hatua

    Hakuna chama kitakuletea pesa kijana! Maisha ni kujipanga wewe kama wewe tu, hakuna awezaye kubeba mzigo wa mwingine hata kama atatoka chama gani elewa. Kila mmoja anajihangaikia kwa namna anavyoweza, wale uwaonao majukwaani wanazungumza na kudondosha machozi wana yao vichwani mwao, ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Dunia hii ina maajabu mengi sana! Kuna siku rangi zitabadirishwa majina yake, bluu itaanza kuitwa nyekundu, nyekundu itaitwa njano, njano itaitwa kijani! Jua litaitwa mvua na mvua itakuwa jua!
Back
Top Bottom