Unaikumbuka soda ya Double Cola?

Unaikumbuka soda ya Double Cola?

Duh Double cola umenikumbusha Tabora miaka ya '85 wakati huo Railway wameshika hatamu hasa!

Eheeeee, wakati huo watotowote sikukuu lazima wapelekwe Tabora hotel, enzi za disco toto, we mbaya wewe, umenikumbusha utoto aisee haya bana.
 
images
images

images
images

images
images

images
$_35.JPG

images

Kazi kwako mkuu!

Duuuuu mkuu umenikumbusha mbali sana......big up!!!!!!
 
Duh! Umenikumbusha mbali sana. Hiyo soda nilikuwa ninainywa wakati nipo Bukoba miaka ya 80's. Kulikuwepo na kiwanda cha soda hizo pale mjini.
 
mara ya kwanza niliinywa gesi yake ikanitokea puani!
 
Kwa nini soda za sasa hazina gesi kali km zamani,
Nakumbuka wakati huo ukinywa lazima gesi ikutokee puani na machozi yanakutoka kdg.
 
Kwa nini soda za sasa hazina gesi kali km zamani,
Nakumbuka wakati huo ukinywa lazima gesi ikutokee puani na machozi yanakutoka kdg.

Vitu vyote vya Siku hizi vimepunguzwa "makali" Enzi zetu ukinywa Bia Bingwa moja unalewa siku tatu, Konyagi haifunguliwi bila kuipiga kwa chini tofauti na sasa unajifungulia tu vivyo hivyo hata soda zilikuwa na gesi nyingi ukinywa lazima tumbo lijae.
 
sawa mkuu international brands ndizo zinafanya vizuri kwenye soko na siyo hii type ya Double au Azam Colas
 
Vitu vyote vya Siku hizi vimepunguzwa "makali" Enzi zetu ukinywa Bia Bingwa moja unalewa siku tatu, Konyagi haifunguliwi bila kuipiga kwa chini tofauti na sasa unajifungulia tu vivyo hivyo hata soda zilikuwa na gesi nyingi ukinywa lazima tumbo lijae.
Bingwa moja unalewa siku tatu? Hii kali...................
 
Wakuu mnaikumbuka soda iliyokuwa ikizalishwa na kiwanda kimoja huko Mwanza iitwayo DOUBLE COLA?

Nakumbuka soda hiyo ilikuwa nzuri sana kiasi kwamba ilitishia soko la soda zingine zenye majina makubwa. Mafisadi watakuwa walikifanyia fitna ili waendelee kutunyonya na soda zao zinazotoa harufu mdomoni na ukakasi kibao.

Nakumbuka sana, nilikuwa Mwanza miaka ya sabini. Slogan yao ilikuwa "No single Cola beats our Cola!
 
Nakumbuka sana, nilikuwa Mwanza miaka ya sabini. Slogan yao ilikuwa "No single Cola beats our Cola!

Miaka ya sabini mbali. ..late 80's zilikuwepo Mwanza. .hadi kulikuwa na kituo cha mabasi kinaitwa double cola. Ikawa tukija dar tukiagiza soda tunaomba double cola wanabaki kutushangaa hadi unajistukia umekosea...
 
nadhani viwanda vya double cola kwa sasa ndio vinaitwa pepsi au ? Na je vimto mnaikumbuka?
 
Cocacola na Pepsi ndio Soft drink duniani kote Hizo sijui Double drink sijui Azam Cola wapeni watoto wenu.

ALL IN ALL

#CHANGE IS INEVITABLE

Wewe utakua mtoto wa juzi yani double cola ulinganishe na azam cola? Maana hii iliuliwa ikaletwa pepsi, pia double cola ilikuwa inazalishwa mwanza igogo miaka ya 80 na mwanzoni 90
 
Miaka ya sabini mbali. ..late 80's zilikuwepo Mwanza. .hadi kulikuwa na kituo cha mabasi kinaitwa double cola. Ikawa tukija dar tukiagiza soda tunaomba double cola wanabaki kutushangaa hadi unajistukia umekosea...

Sasa ivi kituo icho kinaitwa PEPSI kipo Igogo Nyamagana
 
Back
Top Bottom