Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Ijumaa: Ukawa yaibuka kidedea: waganga wa kienyeji wajitokeza kwa wingi wakidai ni wasafisha nyota....
kiu: Anguko la ccm laibua sura mpya, Jk aingia mitini
risasi: siri nzito "masikini magufuli" wasukuma wamlilia
sani: "slaa alikuwa mbuzi wa kafara" mweyewe akiri kutumiwa na ccm
ijumaa wikienda: profesa lipumba arudi Tabora, asema kilimo cha tumbaku kinalipa kuliko siasa
 
UWAZI+RISASI+IJUMAA-Hatimae ukawa washinda kupitia nguvu za giza....ukawa walifundwa miezi saba bila kula huku wakishindia maji tu na tende.
 
MWANANCHI.ccm ndembendembe;mlalo wa chali;kifo cha mende
 
NIPASHE: CCM wasombwa ma Mafuriko
MWANANCHI : LOWASA KASHINDA
 
Mzalendo-lowasa atimkia ujerumani baada ya kushindwa,asisitiza anaenda kutibiwa ila vyanzo vya habari vimedokeza kuwa anaenda kujificha kutokana na madeni anayodaiwa.
Uhuru-CCM yashinda mpaka nyumbani kwa lowasa.
 
UHURU: NEC ya hovyo yaleta simanzi kwa watanzania.

Kamati ya siasa yalalamikia utaratibu wa matokeo ya Rais kubandikwa vituoni!

Habari Leo: Baada ya NEC kufanya madudu: Jeshi lajipanga kuchukua nchi.
 
Mwananchi:

Kikwete Hajulikani Alipo

Akimbia Ikulu
Adaiwa Yuko mapumzikoni Vetnerm
Nape: aanza kukana kauli zake kuhusu Mahakama ya Icc
Magufuli: Akubali matokeo
 
lowasa aomba kurudi ccm,sumaye nae njiani kumfuata..dr slaa awasikitia ukawa
 
Apoteza fahamu hatimaye maisha baada ya kutanganzwa matokeo ya uchaguzi2015
 
tanzania daima=ccm wasema wameibiwa kura na ukawa watinga NEC lubuva awakimbiza
 
moyo Wa bandia hatimaye wabanduka....taifa imara.--------- aangukia pua kigoma...Tanzania daima.torongei apigilia msumari Wa mwisho chalinze.....
 
Mwananchi- Mzizi wa fitina wakatwa rasmi!
Majira-Ukombozi mpya, Tanzania mpya!
Mtanzania- Yametimia..mabadiliko rasmi
Taifa kukimbizwa mchakamchaka wa maendeleo!
Uhuru-Wameisoma namba!
Uwazi-Hatimaye utabiri wa TB Joshua watimia!
 
Back
Top Bottom