Baadhi ya mabosi kuwa mashoga, ni laana ama?

Status
Not open for further replies.
Mimi sishangai private citizens kuwa mafirauni japo kuwa napinga. Kinachonishangaza ni makanisa kubariki michezo huu miongoni mwa viongozi wake. Hawa Lutherans wanasema kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa.

Hivi Wakristo munapoona mapadri wenu wanabariki uhani.dhi na ubasha huwa munajisikiaje. Bado munaamini hawa watu na hizo dini ni za haki mbele ya Mungu?

Sohoji 'wahuni' wachache kufanya mambo kinyume na dini, hapa tunaona dini inabariki huu uchafu.

http://www.washingtontimes.com/news/2009/aug/22/lutheran-church-to-allow-gay-clergy-couples/

Mzanganyika; walutheri hawarusiwi kuoa/kuolewa zaidi ya mke/mme mmoja sembuse shoga, hivyo sio kweli kuwa Lutherans kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa. Umemkosea Mungu na walutheri kwa ujumla, hivyo, waombe radhi kwa kuwadharirisha.
 
This is the most disgusting converstaion I have seen, perhaps you are a born bastard or you want to flog your mother and sister as they could be as ugly as you have portrayed your self!
 
Inasikitisha ukifikiria kwa kina kama kweli vitendo hivi vipo jamiini......
 
mwingine ni kiongozi mwenza wa ukawa inabidi kusimama kulinda utamaduni wetu wazungu wajanja sana njia mojawapo wanayotumia kututawala ni kuvunja tamaduni zetu
 
Mimi sishangai private citizens kuwa mafirauni japo kuwa napinga. Kinachonishangaza ni makanisa kubariki michezo huu miongoni mwa viongozi wake. Hawa Lutherans wanasema kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa.

Hivi Wakristo munapoona mapadri wenu wanabariki uhani.dhi na ubasha huwa munajisikiaje. Bado munaamini hawa watu na hizo dini ni za haki mbele ya Mungu?

Sohoji 'wahuni' wachache kufanya mambo kinyume na dini, hapa tunaona dini inabariki huu uchafu.

Lutheran church to allow gay clergy, couples
mzanganyika NAOMBA UFUTE KAULI AU UWEKE UTHIBITISHO JUU YA KANISA LA KILUTHERI TANZANIA,AFRIKA NA DUNIANI KUIDHINISHA USHOGA NA USAGAJI,VINGINEVYO UTAKUWA UMEYUMBA KATIKA HII KOMENTI YAKO
 
Mimi sishangai private citizens kuwa mafirauni japo kuwa napinga. Kinachonishangaza ni makanisa kubariki michezo huu miongoni mwa viongozi wake. Hawa Lutherans wanasema kama unamtafuna na kutafunwa na mmoja tu basi ni ruksa.

Hivi Wakristo munapoona mapadri wenu wanabariki uhani.dhi na ubasha huwa munajisikiaje. Bado munaamini hawa watu na hizo dini ni za haki mbele ya Mungu?

Sohoji 'wahuni' wachache kufanya mambo kinyume na dini, hapa tunaona dini inabariki huu uchafu.

Lutheran church to allow gay clergy, couples
Hayo maneno yako yametokana na gongo ulizokunywa ukachanganya na bangi ukidhani unakula mchicha na kushushia na maji.
 
Na mimi sitashangaa kwamba mnayemuita Jesus alikua gay!!

Schmidt mnayemuita Jesus mpaka alipotundikwa msalabani Hakua na mtoto wala mke.

No wonder why many priesters are gay
!!
judas1.jpg
jesus.jpg
loljesus1.jpg
Mtu kama wewe ni wakupuuzwa
 
Ushoga unaenea kwa kasi ya ajabu. Nilishangaa sana niliposimuliwa na wenzangu tuliokuwa nao JKT kambi ya Maramba mkoani Tanga (Operesheni Programu ya Chama) kuwa mkuu wa kikosi (CO) tuliyemkuta pale wakati mafunzo ya programu hiyo yanaanza (siyo yule aliyekuja baadae na tukamalizia nae) nae alikuwa shoga. Hii ilikuja kujulikana kwa watu baada ya kuwa amewa approach kiaina kruta wake hasa wale ma handsome na pia wakakamavu na wakamkatalia na hivyo kuvujisha siri japo kwa wachache sana.

Habari hii haikuvuma kwa wengi kwa sababu kwa yule aliyekuwa anamkatalia alikuwa anatishiwa kupata mateso makali ya kijeshi akivujisha habari.

Nakumbuka jina lake lakini sipendi kuliandika hapa kwa sababu alishatangulia mbele ya haki lakini waliokuwa hapo kambini kipindi cha operesheni hiyo wanamjua vizuri.
 
Namfahamu mkuu mmoja wa benki yenye mafanikio makubwa sana ila yeye ni MENDE ukishamtwanga anakutolea pistol kuwa na wewe umpe tackle. Pia mmiliki wa magazeti pendwa..
 
Kuna huyu anayejiita superstar wa kigambon cjui afizi alawi anayependa kutajwa sana kwny media huyu nae ni mende
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom