share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,063
- 10,478
dilemma
Umesema vizuri sana. Mpaka sasa mtu asiyefahamu kuwa CCM inapaswa kuondoka madarakani kwa gharama yeyote ile ni mwehu, mjinga, mwenye akili finyu na asiyejitambua. Hata kama bado analamba masufuria ya ufisadi ajue kabisa historia itamuhukumu. Hata aje Malaika hataweza kuongoza vema ndani ya mfumo ovyoo ulioota mizizi mingi na mirefu ndani ya CCM kwa zaidi ya nusu karne sasa. Atatumikia tu mfumo huu wa kishenzi na kishetani. CCM must go and gradually disappear from world's surface kama KANU. Vyama vilivyopigania Uhuru havina maana tena katika harakati za ukombozi wa kiuchumi wa nchi husika. Badala yake vimekuwa vikwazo na laana ya maendeleo. Lazima CCM ing'oke. Muda wa kung'oka ni sasa, ni Oktoba 2015.

Last edited by a moderator: