Recent content by mimixoxo

  1. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Kwa uelewa wangu Nape alishaoa siku nyingi na pete alikuwa anavaa, sasa sijui huyu ni mke mwingine au walifunga bomani, wadau wenye data mtujuze
  2. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa?

    Ni doubt sio dought.
  3. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya NDOA na HARUSI (Soma hapa ili usijute ukioa/kuolewa)

    Yani I was about to tell him/her the same thing. Hii post ilishawekwa hapa zaidi ya mara moja watu wanacopy copy tu na kujifanya wameandika wao.
  4. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozaliwa January 15 tu!

    Unatoa Offer wakati wewe ndio mwenye shida ya urafiki na uchumba...Sema naomba offer alaaaah...
  5. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Amenifungulia kesi polisi,yakutishia kumuua kwa maneno,ila yote hayo chanzo yeye.

    Miezi sita tu na ada umeshalipa na mazaga zaga kibao...loooh. Mbona mnakuwa na speed hivyo? Alikuomba umlipie au kabla alikuwa analipiwa na nani? Vijana siku hizi wiki tu mshafahamiana na papuchi tayari matokeo yake ndio hayo. UKOME KUTISHIA TISHIA WATU MAISHA.
  6. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Utakumbukwa milele Jane Mshana

    R.I.P Jane Mshana. Tutakukumbuka daima. You have been a great friend/workmate to me and nitakukumbuka daima. Mungu akupumzishe kwa Amani my dear.
  7. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Diamond:mida hii Off to Zanzibar kwenye mazishi ya mzazi wa Wema...

    Hapo chacha....
  8. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Mabenki ya bongo yanatisha personal info wanawaambia maadui wa wateja wao?

    Mnapomchokoza Mange muwe mmejipanga, na yeye ana moyo huo huo kama wenu. Sinta alizidi sana kumchokonoa dada wa watu kisa apate kick kwenye blog yake, haya sasa tumeshajua data zako zote. Nashangaa kwa nini unamficha mwanao na kujidai hujaolewa shoga...unamkana mganda wako kweupee...mjini kazi...
  9. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Acheni unafiki clouds na watangazaji wenu

    Hahahaha wamechemkaa....Jide ndio mpango mzima...#joto #hasira#. Aibu yao wakajipange tena.
  10. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

    Habari za kuaminika ni kwamba M to the P yupo hai hospitali na anaendelea vizuri. Source:Millard Ayo yupo South Africa
  11. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania I am pregnant but my husband does not want the baby..

    www.uongo.com, hadithi yako inatufundisha nini labda? Mana fix tupu? 24weeks....12May na leo ni Feb. Haya mamaa kakojoe ulale eeeenh.
  12. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Love Fading Away

    You have said she is your friend.. So why dont you ask her instead of asking us? Do you think we can read her mind?
  13. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

    Ni heri ukatafuta jinsi ya kumwambia aache kukutumia ujumbe wa aina hizo kama kweli hazikupendezi na kwa manufaa ya ndoa yako pia.
  14. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mahawara wengi huwa hawaachani moja kwa moja

    Ni mtu na mtu na kujiendekeza pia. Binafsi napingana nayo, tukimalizana tumemaliza no turning back. Tutabaki kuheshimiana tu na kusalimiana kama rafiki wa kawaida tukikutana.
  15. mimixoxo

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    There are currently 446 users browsing this thread. (101 members and 345 guests) Hapana chezea mjeda, looooh....
Back
Top Bottom