Utakumbukwa milele Jane Mshana

Utakumbukwa milele Jane Mshana

Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u

Kwa uandishi huo wewe umesoma chuo gani!?? cha kitongoji au!?
 
Ngoja nikwambie ndugu yangu. Kwenda hospitali sio siri ila kile mnachoongea na daktari ndio siri. Na kumhudumia mgonjwa sio siri ila unachomhudumia ndio siri. Ndio maana hospitali zipo peupe ila chumba cha daktari kinafungwa. Ni siri gani niliyoitoa hapo? Kutibiwa hospitali ni siri? Nimesikitika kwa sababu ni mtu ambaye nilishakutana naye kwenye maeneo ya kazi ndio maana nikaulizia. Usijifanye unajua kitu ambacho hukijui. Hivi benki teller akisema alikuhudumia benki atakuwa ametoa taarifa zako za benki?
 
nakumbuka siku zile za kiharakati mjini Arusha, ulikua kamanda mwaminifu na mwadilifu, RIP Jane

535263_10150830866580805_1802497557_n.jpg
 
MMmhh, daktari gani asiye na maadili ??hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..

Daktari wa mitishamba huyo!! Kwani hao jamaa nao wana maadili ya kutunza siri?

Unaweza kumwita Dr. Maji Marefu junior!!!
 
Kwa uandishi huo wewe umesoma chuo gani!?? cha kitongoji au!?

Kuna watu wanajidai wameelimika kumbe hamna kitu.! Hizi hasara za kukariri madesa bila kuelewa. Simple thing wanaanza kuonesha ujinga wao.
 
Ngoja nikwambie ndugu yangu. Kwenda hospitali sio siri ila kile mnachoongea na daktari ndio siri. Na kumhudumia mgonjwa sio siri ila unachomhudumia ndio siri. Ndio maana hospitali zipo peupe ila chumba cha daktari kinafungwa. Ni siri gani niliyoitoa hapo? Kutibiwa hospitali ni siri? Nimesikitika kwa sababu ni mtu ambaye nilishakutana naye kwenye maeneo ya kazi ndio maana nikaulizia. Usijifanye unajua kitu ambacho hukijui. Hivi benki teller akisema alikuhudumia benki atakuwa ametoa taarifa zako za benki?

Unafikri mkuu ungeishia kusema ulikutana naye hospital akiwa na afya yake nzuri nani angekusakama? Ila wewe umesema ulikutana naye Clinic!!! Sasa hiyo ilikuwa Clinic ya wajawazito na watoto au ya wagonjwa wale wengine? Basi ungebainisha ni Clinic gani ili kuondoa huu mkanganyiko wa watu kufikiri kwamba labda ilikuwa clinic ya magonjwa yale!
 
Tatizo ndo hilo. Tunafikiria kwa upande mmoja. Kwa nini wewe ufikirie clinic ya hiv tu? Ningesema amefariki kwa sababu alikuwa mgonjwa ungeanza kufikiria huko. Mbona wengine wameelewa nini nilichomaanisha? Tuwe tunawiden our thinking ili tusifanye conclusion ambazo sio. Na nisingeweza kutaja clinic niliyokutana naye kwani huko ni kutoa siri ya mgonjwa japokuwa ni marehemu.
 
Nyalotsi unajivaragua tu apa ila uzi wako wa mwanzo kabisa haujawa fea.....bora ukae kimya tu
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ndo hilo. Tunafikiria kwa upande mmoja. Kwa nini wewe ufikirie clinic ya hiv tu? Ningesema amefariki kwa sababu alikuwa mgonjwa ungeanza kufikiria huko. Mbona wengine wameelewa nini nilichomaanisha? Tuwe tunawiden our thinking ili tusifanye conclusion ambazo sio. Na nisingeweza kutaja clinic niliyokutana naye kwani huko ni kutoa siri ya mgonjwa japokuwa ni marehemu.
Ndugu yangu Nyalotsi humu JF kuna tofauti kubwa sana ya uwezo wa kupambanua mambo kwa baadhi ya watu hivyo wewe piga kimya sijaona mahali popote ulipokosea.Zaidi na zaidi nimesikitika kuona baadhi ya Watanzania wenzangu hawajui maana ya neno CLINIC.
NEVER ARGUE WITH STUPID PEOPLE,THEY WILL DRAG YOU DOWN TO THEIR LEVEL AND THEN BEAT YOU WITH EXPERIENCE.

R.I.P Jane
 
Uuuwwwiiiiiii Jane!!! RIP Dada, tupo nyuma yako.
 
R.I.P Jane Mshana. Tutakukumbuka daima. You have been a great friend/workmate to me and nitakukumbuka daima. Mungu akupumzishe kwa Amani my dear.
 
Wakaka bwana, ndo wanaonekana kumjua huyu shori kwa ukaribu...mwingine anasema alipelekwa KIA usiku mwingine toka primary, haya na wengine mje twawasubiri mjitambulishe. Baada ya hapa mpitie kule mwangaza mkaangazwe kwanza!! Uwekwe panapostahili jane.
 
Kifo ni kifo tuu mwache dada yetu apumzike anapositaili kwa amani malumbano ya kumbishania marehemu hana maana.
 
through my narrow thinking, sijaona mahali ambapo siri ya ugonjwa wa marehemu ime-leakishwa! watu mnawaza vibaya. RIP mrembo.
 
Wakaka bwana, ndo wanaonekana kumjua huyu shori kwa ukaribu...mwingine anasema alipelekwa KIA usiku mwingine toka primary, haya na wengine mje twawasubiri mjitambulishe. Baada ya hapa mpitie kule mwangaza mkaangazwe kwanza!! Uwekwe panapostahili jane.

offcourse hali ua jane hata usoni anaonekana haikuwa,nzur, sasa vjana kaaeni chonjo, si siri tena
 
Back
Top Bottom