Recent content by miminho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo

    Nadhani ishu si hiyo maana huyu mama alikuwa Ifakara kabla ya kuletwa Bagamoyo na Ifakara ni miongozi mwa majimbo ambayo ccm wameshindwa na hata rufani zao wameshindwa. Kuhusu kuchangisha pesa sio kwel na kumbuka hawa viongozi wapo kwenye mafunzo dom kwa sasa. Ni ngumu kupima utendaji kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa sijawaelewa TRA kuhusu hawa vijana 200 walioajiriwa

    naona hii ni njia mojawapo ya kupiga pesa kwa kigezo cha training . Unawezaj kutoa mafunzo kwa mwaka mzima ?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hapa sijawaelewa TRA kuhusu hawa vijana 200 walioajiriwa

    Habari ndugu ! Kwanza nianze kwa kuipongeza TRA kwa juhudi zake za kukusanya kodi na pia niwapongeze wafanyakazi wote wa TRA kwa kufanya kazi kwa bidii katika kufanisha dhamira ya serikal iliyopo madarakani. Baada ya pongezi hizo ,niseme kile kinacho nitatiza kwenu TRA. Wiki mbili sasa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi gani mazuri kutoka Dar kwenda Kigoma?

    Saratoga ni zuri sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mrundikano wa watoto wa vigogo BoT (Benki Kuu) yatua mezani kwa Magufuli

    Ni kweli mkuu , yaan hao watoto wa vigogo ndio wanasifa za kufanya kazi BOT ????????????. watumbue tu Mkuu wa nchi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Nadhani umemnukuu Rais vibaya ndugu ! Nilivyomsikiliza Rais anawapa onyo wafanyabiashara ambao wameficha sukari kwa lengo la kupandisha bei ,Pia ameweka wazi wafanyabishara ambao waliokuwa wananunua sukari iliyokwisha muda wake huk Brazil etc. Pia ishu ya kuzui sukar toka nje si kwamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Asante Mh. Rais
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa million 4 nawezafanya biashara gani Dar.

    Asante sana mkuu kwa wazo zuri
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa million 4 nawezafanya biashara gani Dar.

    Habari ndugu zangu . naomba kujua kwa wenye uzoefu wa biashara, mtaji wa milioni 4 kwa hapa Dar unaweza fanya biashara gani ? Asante.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUBLOCK SIMU ILIYOIBIWA

    Habari wandugu ! Naomba kujua namna ya kublock simu iliyoibiwa isiwez kutumiwa kabisa na aliyeiba au kuuziwa. Nimejaribu kuuliza mitandao yetu ya simu hawawez kufanya hicho kitu. Nimeshindwa kuelewa simu zilisajiliwa za nn na IMEI namba huwa wanarekod za nn ???
  11. M

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MABWEPANDE MH. LUKUVI NA MH. PAUL MAKONDA TUSAIDIENI

    Kwanza niwapongeze watanzania wenzangu wote kwa kuzuka salama uchaguzi mkuu na Mungu kutusaidia kupata rais , wabunge na Madiwani , niwatakie kila la kheri kwenye utumishi wao katika miaka mitano . Pia nimpongeze kipekee rais wetu Mh. Dr. John P. Magufuli kwa uteuzi wa baraza lake ni Imani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MABWEPANDE MH. LUKUVI NA MH. PAUL MAKONDA TUSAIDIENI .

    Kwanza niwapongeze watanzania wenzangu wote kwa kuzuka salama uchaguzi mkuu na Mungu kutusaidia kupata rais , wabunge na Madiwani , niwatakie kila la kheri kwenye utumishi wao katika miaka mitano . Pia nimpongeze kipekee rais wetu Mh. Dr. John P. Magufuli kwa uteuzi wa baraza lake ni Imani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Kama tutjenga uchumi wetu ndani ya miaka mitano hivi itawezekana kupunguza mzgo kwa wazazi ila buree bado kwa Tanzania
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Tukiondoa ushabik wa vyama na kuongea kweli , mfano mm nipo sehem ambayo tunasafir sana ndan bara letu hili ki ukweli Tanzania tumepiga hatua kubwa ukilinganisha na nchi za sub sahara ,Mfano kwenye sekta ya Afya tumepiga hatua , miiundo mbili tumepiga hatua kwa kiasi. Kubwa hapa ni kuongeza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania ITV jamani, mmenunuliwa?

    Mtoa mada channel ten wanatangaza habari za ukawa bila tatizo ila ujue huwa wanasegment mbili ya habar za kitaifa ,mara nying habari hizo huwekwa segment ya pili na kwa muda unaridhsha. Kwa ITV kwa hiv karibu naona wanaweka iwe habari ya mwsho nadhan kulingana na ukubwa wa habari.
Back
Top Bottom