Mtaji wa million 4 nawezafanya biashara gani Dar.

miminho

Member
Feb 15, 2012
46
7
Habari ndugu zangu .

naomba kujua kwa wenye uzoefu wa biashara, mtaji wa milioni 4 kwa hapa Dar unaweza fanya biashara gani ?

Asante.
 
jitahidi ufanye biashara ya vitu vya lazima kwa binadamu...kama chakula, malazi na mavazi kidogo... hela ngumu nowdays watu hawanunui vitu vya anasa sana
 
Back
Top Bottom