Habari ndugu !
Kwanza nianze kwa kuipongeza TRA kwa juhudi zake za kukusanya kodi na pia niwapongeze wafanyakazi wote wa TRA kwa kufanya kazi kwa bidii katika kufanisha dhamira ya serikal iliyopo madarakani.
Baada ya pongezi hizo ,niseme kile kinacho nitatiza kwenu TRA. Wiki mbili sasa mmeajiri vijana wapatao 200 kwenye nafasi ya Preventive Assistance na Assistance Customs office kwa lengo la kuongeza nguvu kazi kwenye taasisi hiyo. Niwapongeze kwa hilo maana interview hiyo ilikuwa na watu wengi sana karibu 5000 na hao waliopata naamini walikuwa na sifa mlizokuwa mnahitaji.
Hawa vijana 200 ambao wameajiriwa kwa sasa, mmewaandalia kozi ya mwaka mmoja na hivi sasa wanaendelea na mafunzo Dar es salaam.
Kwenye haya mafunzo mlengwa anapswa kufikia alama zilizopangwa baada ya kozi yake kuisha ili aweze kupewa mkataba wa moja kwa moja kama mfanyakazi wa TRA lakini akishindwa ndio inakuwa bye bye, Ingawaje wakati wote wa mafunzo analipwa mshahara kama mfanyakazi wa TRA.
Kwenye haya mafunzo ya mwaka mmoja vijana hawa wanapewa kifungua kinywa na chakula cha mchana ambacho TRA wanagharamia.
Swali langu;
(a ) TRA kwa nini vijana hawa wapewa kozi ya mwaka mzima (Post Graduate ) baada ya ile ya wiki sita na baada ya hapo wapangiwe vituo vyao vya kazi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
(b) TRA hamuoni ni gharama kulisha watu 200 kwa mwaka mzima?
(C) Endapo ikatokea miongoni mwao hao vijana akashindwa kufikia alama husika haitakuwa hasara kwa kwenu TRA maana atakuwa amepokea mshahara kwa mwaka mzima ?
(d) Endapo miongoni mwao hao vijana akaitwa kazini kwenye taasisi nyingne na kuamua kuachana na hiyo kozi, mtu atakaye-replace hiyo nafsi atapatiwa kozi ya mwaka mzima kuziba hilo pengo ?
Asante.