Kwanza niwapongeze watanzania wenzangu wote kwa kuzuka salama uchaguzi mkuu na Mungu kutusaidia kupata rais , wabunge na Madiwani , niwatakie kila la kheri kwenye utumishi wao katika miaka mitano . Pia nimpongeze kipekee rais wetu Mh. Dr. John P. Magufuli kwa uteuzi wa baraza lake ni Imani yangu waliopata bahati ya kuwatumikia watanzania katika nafasi walizopewa na rais watatenda haki na kufata sheria bila uwoga.
MABWEPANDE!
Jina la mabwepande si geni kwa wananchi wengi hususani wana dar es salaam, mwaka 2007 serikali serikali ilifanya tathimini kwenye mashamba ya mabwepande kwa lengo la kutaka kuleta mji wa kisasa mabwepanda lakini kwa kile kisichofahamika tathimini ilifanyika kwa wamiliki wa maeneo kupigwa picha kwenye eneo husika na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni na zoezi kutoweka ghafla mpaka pale waliorudi tena mwaka 2012 na kuanza upya zoezi na kuwazuia wamiliki wa maeneo hayo kutoyaendeleza maeneo yako mpaka serikal itakapolipa kulingana na tathimini ya 2012 na si ile ya 2007.
VIKAO VYA WAMILIKI WA MASHAMBA NA SERIKALI
Baada ya tathimini ya pili kufanyika wamiliki wa maeneo hayo palikuwepo na vikao vya kutaka kujua mambo mbalimbali ya hatma ya umiliki wao .
1. Kujua serikal itatumia tathimin ya awamu ipi kulipa ?
2. Muda uliopotea je utazungatiwa wakati wa malipo ?
3. Je wamiliki wa maeneo watapewa kibaumbele wakati wa uuzwaji wa maneno ?
4. Gharama za kulipia kwa waliokuwa na maeneo ?
5. N.k
Baada ya majadiliano kadhaa maamuzi yalipatikana kuwa :-
1. Kila anayemiliki eneo atapewa kipaumbele
2. Wenye maeneo watalipia nusu gharama kwa mraba mmoja pamoja na upimaji.
MALIPO YA TATHIMINI NA UUZWAJI WA VIWANJA.
2014 /2015 Zoezi la ulipaji wa tathimini ulifanyika kwa wamiliki kupewa fedha zao kulingana na thaman ya ardhi , mazao yaliyopo kulingana na bei zake na kama kulikuwa na jingo lolote ndani ya eneo lako.
Mwezi wa nne 2015 halmashauri ya kinondoni ambayo ndio wamiliki wa mrada walitanganza uuzwaji wa viwanja kwa awam ya kwanza na zoezi hili lilifanyika MWANANYAMALA karibu na soko la mapinduzi . gharama za fomu ilikuwa ni Ths 30000/= na tangazo liliwataka hata wale walikuwa na maeneo wanunue fomu upya .
Baada ya Muda kidogo Halmashuri ya Kinondoni ilitoa majina ya watu walifanikiwa kupata maeneo kulingana na maombi ya muhusika , MBAYA ZAIDI WALE WOTE WALIOKUWA WANAMILIKI MAENEO MAJINA YAO HAYAKUBANDIKWA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO WALA KUTAFUTWA NA SIMU NA KILA UNAPOFIKA OFISI YA ARDHI WANADAI KUNA UTARATIBU MWINGINE KWA WALIOKUWA NA MAENEO ,HALI HIYO ILIENDELEA MPAKA AWAMU YA PILI YA UUZWAJI WA VIWANJWA VINGINE ULIPOANZA NA SASA UNAKARIBIA KUISHA , BADO MAJIBU NI YALE YALE TOKA KWA OFISI YA ARDHI NA ANAYESIMAMIA MRADI HUU ( KWA SASA WAPO KWENYE KONTENA KARIBU NA OFISIN YA MKUU WA WILAYA.)
MASWALI TATA KWA MH. LUKUVI NA MH. MAKONDA.
1. NINI HATMA YA WATU WALIKUWA NA MAENEO MAPWE NA WALILIPA PESA ZA KUNUNUA FOMU KWA AWAMU ZOTE MBILI ZA ZOEZI LA UUZWAJI WA VIWANJA.
2. KWA NINI WALIOKUWA NA MAENEO WALIPE GHARAMA SAWA NA MTU ANAYEOMBA KUPATA ARDHI KWA MARA YA KWANZA
GHARAMA NI SQM 1 = 12000 KWA MAKAZI NA SQM 1= 15000 KWA MAKAZI NA BIASHARA , SQM 1 = 25000 KWA BIASHARA TU.
3. JE WATUMISHI WAKO WAMESHINDWA KUWEKA UTARATIBU MAALUM KWA WALIOBAHATIKA KUPATA MAENEO KWENDA KUONA MAENEO KWA PAMOJA NA KUACHANA NA MCHEZO WA SASA KWA KUMLIPA MMOJA WA WAFANYAKAZI
TSH . 50,000 /=KWA KICHWA ILI AKUPELEKE KUONA ENEO LAKO ????? ( NA KAMA ENEO LAKO LIPO KATIKA BONDE AU BWAWA HIYO PESA YA KUPELEKWA HAIRUDI ) . HUU SI WIZI ???? MAANA PESA HIYO HAIENDE HALMASHAURI BALI INAPIGWA NA WAHUSIKA WANAOGAWA VIWANJA AMBAO WAPO PALE KONTENA.
NB : TUNAOMBA HAKI ITENDEKE KWA WALE WOTE WALIOKUWA NA MAENEO MABWEPANDE NA WALIJAZA FOMU HUSIKA NA MAJINA YAKAFICHWA NA SASA INABIDI UENDE MMOJA MMOJA KUFATILIA HAKI YAKO .
Ni matumaini yetu haki itatendeka