Recent content by Mimich

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli na data za uongo

    Atakua anaongea Ali mselema.....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kuna Paka Wangapi hapo?

    Wapo paka saba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

    Toka lini mwajiriwa kumwajibisha bosi wake. Hata wakiwa na taarifa wanaogopa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi bilioni 800 zayeyuka bandarini

    Acha tu wafanyabiashara wakwepe tu kodi wasaidie familia zao kuliko kulipa Kofi ambayo mwisho Wa siku haziendi kwenye miradi ama kuendesha seikali badala yake watu wamekaa tu kusubiri namna na mbinu za kugawana..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kweli itakuweka huru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna harufu ya ngumi hapa

    Hahahaha u made my day. Nimecheka mpaka kikohozi..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mvuta bangi atolewa nduki na kundi la Mbuzi

    Vipaji kama hivi Vya wiseboy adimu sana. Alitkiwa Kuwait produser wa vitukoshow
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtenganisha mtoto na chumba cha wazazi?

    Mkuu hii mada ipo mahala pake. Wazazi tunakosea sana kulala na watoto. 1st born wangu 2yrs alishaanza kuleta shida. Hataki kuona hata tumekumbatiana. Anatutenganisha kwa kulala ktkt. Nikajua haifai faragha mbele ya watoto hatakama ana mwaka na nusu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama unabisha jaribu

    Pum.bavu imenikamata kweli kwenye 3 hahaha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Jogi. Nimeipenda hii. Hata Lema akipewa nafasi na magamba anakula mwereka tu. Arusha chadema ipo kwenye DNA za wanaarusha..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Sisi ni chipukizi wa ÇCM shkaaaaamooooo mwaaalim...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Dah nimecheka sana. Mnakumbuka mambo ya kupinga? Siku nzima mkono makalioni ukitoa Tu Boonge la buti linakuhusu... Basi kutwa nzima unashikilia kalio kama unazuia mavi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto achinjwa Wilayani Kondoa

    Crystal tupe story kamili. 1. Amechinjwa na nani 2. Kwa nini 3. Ni albino ama Weka nyama bhana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Mlalamikaji no Aboubakar
Back
Top Bottom