Haaaaaaaaaaaaaah Bavicha katika ubora wenu
CCM wamekuwa waongo na watu wa kutoa ahadi za uongo kwa miaka yote,ila watanzania walikuwa bado hawajapata mwamko kama sasa,KWASASA WATANZANIA HATUDANGANYWI TENA NA VIONGOZI WA CCM,sasa kama anadanganya hivyo je hizo laptop kwa walimu si ni uongo pia? KURA ZETU ZITAENDA KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA. Tumechoshwa na wizi na ufisadi wa CCM.
Alichonishangaza magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo anasema kwa mara ya kwanza tanzania na duaniani itaweka history ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke
Ni uongo uliokithiri
Collection
Mwaka 1994 mpaka 2003
Uganda walikwa na makamunwa rais madam specioza nainda Wangila
Hadi sasa zambia wana makamu wa rais wa kike madam inonge Wina
So ukiwa muongo angalua pa kudanganya
Tukutaneoctober2015
Tatizo 'knowledge' yake ndogo, atawadanganya hao hao wasiyojitambua..Alichonishangaza magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo anasema kwa mara ya kwanza tanzania na duaniani itaweka history ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke
Ni uongo uliokithiri
Collection
Mwaka 1994 mpaka 2003
Uganda walikwa na makamunwa rais madam specioza nainda Wangila
Hadi sasa zambia wana makamu wa rais wa kike madam inonge Wina
So ukiwa muongo angalua pa kudanganya
Tukutaneoctober2015
Alisema kwa Mara ya Kwanza Tanzania na dunia itajua. Tanzania haijawahi kuwa na Makamu mwanamke hivyo itakuwa ni historia itakayojulikana Tanzania na ulimwenguni.
Kama hujui matumizi ya lugha uliza uelekezwe.
Alichonishangaza magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo anasema kwa mara ya kwanza tanzania na duaniani itaweka history ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke
Ni uongo uliokithiri
Collection
Mwaka 1994 mpaka 2003
Uganda walikwa na makamunwa rais madam specioza nainda Wangila
Hadi sasa zambia wana makamu wa rais wa kike madam inonge Wina
So ukiwa muongo angalua pa kudanganya
Tukutaneoctober2015
Huyo wa Uganda mbona nawe umechapia? Mimi. Nakumbuka yule mama alikuwa akiitww Dr. Specioza Naigaga Wandira Kazibwe sasa huyo Sepecioza Nainda Wangila ni yupi?Alichonishangaza magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo anasema kwa mara ya kwanza tanzania na duaniani itaweka history ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke
Ni uongo uliokithiri
Collection
Mwaka 1994 mpaka 2003
Uganda walikwa na makamunwa rais madam specioza nainda Wangila
Hadi sasa zambia wana makamu wa rais wa kike madam inonge Wina
So ukiwa muongo angalua pa kudanganya
Tukutaneoctober2015
Mkuu umewapiga pabaya!Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe.
Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea.
Acha masihara wewe unataka tuuze nchi.
Ukawa hawawezi shika hii nchi.
Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe.
Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea.
Mkuu umewapiga pabaya!