Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
alafu unasema afya na ekimu Burr haviwezekani.
Hiyo ndio ilikuwa sababu ya Kumtoa Mwakyembe ili waibe, mission accomplished
Hiyo ndio ilikuwa sababu ya Kumtoa Mwakyembe ili waibe, mission accomplished
huyu ni mkaguzi sio mdhibiti maana mdhibiti angezuia upotevu wa pesa hiyo!
huyu ni mkaguzi sio mdhibiti maana mdhibiti angezuia upotevu wa pesa hiyo!
Toka lini mwajiriwa kumwajibisha bosi wake. Hata wakiwa na taarifa wanaogopa.ofisi ya mwendesha mashtaka, polisi, takukuru na usalama wa taifa inaonekana hakuna watu wenye weledi kufanya kazi sambamba na cag