hiyo ndioshda ya sisi vijana. Utampelekaje mchumba home kabla hujawaapa wazaz taarifa au historia fupi ya mchumba wako? Ungesema mpema ungejua wazaz wako wanamtazano gani
pole dada yangu. yan had nmejihis kuulia. ila nakuomba utulize akili kwanza sikuhiz matapeli wa matatzo kamahayo ni wengi wasje wakakupa tiba hewa au itayodhuru afya yako. ongea tena na madaktar wa hosptal tofaut uskie wanasemaje... mungu yu pamoja nawe iposiku utarud kutushuhudia umejfungua salama
4m...? ok ndo mana wanawake wanapgwa kilasiku, how comes? yan mtu aksha ona hvyo kwa penz linakufa ganz gafla na hata hao wakwe jamaa hatakua na amani nao, sasa itokee bint umekosea ndan ya nyumba lazma jamaa akupge kpgo cha milioni 50.. oya kawambie pesa uliyonayo kama hawatak mtie mimba uyo...
kudadadadek mie sjui english lakn makosa ya kijinga kama hayo siwez kuandka, je ukiambiwa uongee si ndio unatapika ugali mbich? kwa upande wa kumpenda mtu maarufu hilo ni jambo la kawaida dunian kote kwa mashabik wa mchezo wowote
acha unafki wa kshoga we dogo, hakuna afisa elimu wa mbeya anaweza kufanya hvyo, alaf ujue hao maafisa wenyew wote ni wagen hapo mbeya iweje ubaguliwe? manispaa ya mbeya ukienda hujui kujieleza unatetemeka na hujiamini ujue imekula kwako, wanakushinda mabibi na mababu wanatoka miliman na...
inaelekea hata shule hujaenda, mbeya ni kimji kdogo? bas muulize hata mtoto wa chekechea akufundshe geograph... acha watu wenye uwezo wajisifu, kujiona mnyonge ndo kunafanya watu mshndwe kujieleza uwezo wenu
tatzo watu wanapenda kuish kwa propaganda uchwara, hakuna chuo kscho na mapunguf, lakn kuhusu udom hiv sasa wamepga hatua kubwa sana, last year ofisin kwetu tulifanya interview ndio tukajua udom wapo smart sana kuanzia kujieleza kufikir nidham na kiutendaj, tulitoa case study moja then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.