Network inakata juu ya Neymer

Network inakata juu ya Neymer

kudadadadek mie sjui english lakn makosa ya kijinga kama hayo siwez kuandka, je ukiambiwa uongee si ndio unatapika ugali mbich? kwa upande wa kumpenda mtu maarufu hilo ni jambo la kawaida dunian kote kwa mashabik wa mchezo wowote
 
Neymar my foot. mtu mwenyewe hata kuoga na kufua pichu vizuri haujui
 
Jaman mwenzenu
Namzimikia neymer mbaya huyu mchezaj wa brazil yan kila nikimuona network inapotea i hop siku moja nitaonana nae even ma dady he knw abt dat

Lazma nionane na neymer
I ril like him!

ahahahaa, safi sana unasema ukwl wa moyoni, hakuna ubaya kumpenda mtu, usijali utaonana nae tu siku moja.
 
Neymar atakuwa -------- akikukubali ndondocha kama wewe.Ila nimekipenda kiinglishi chako cha inglishi kozi kwa Ras Simba.
 
Kweli wewe una upungufu mkubwa sana mwilini mwako. Sio bure kabixa.

Unajarbu kuninyooshea kdole kmoja mm lakn hata vnne vyako vyote vnakuzogodoa wewe.usntoe kbanz wakat wewe una boliti jchon mwako.usjfanye wewe mkamilfu hapa..mxyyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom