Nimfanyaje huyu baba?

Nimfanyaje huyu baba?

Ha ha ha hujui wanaume tulivyo resilient. Huyo kakuweka kiporo. In short huwa tunakuwa na timing. Yaani tunafukuzia mademu kadhaa kwa wakati mmoja and then we prioritize na kustrategize based on how we perceive you are. Miezi minne michache sana. In fact he got you where he wants you. Sasa mvulie chupi uone. Na usije ukafikiri kuwa hiyo gear anaitumia kwako peke yako.

Yawezekana lakin
 
Hivi wewe una nini maana thread yako ni KUPENDWA tu mara zote, ooohhh ananicare mara ananipa kila kitu mara kaninunulia gari, all these ni ukweli au unatuchora au kuchukua story za mashoga zako????????
Au ndo swaga za KUJISIFIA mara zote wakati ukweli bilabila choka mabaya kama sie wa Gonga la kulia??

Sasa unataka niandike nini humu? Kwamba ulibakwa na baba yako ama?? Kama ni kweli au siyo kweli nimekuita uchangie mbona marnda yakuwasha weye?!
 
Yawezekana lakin

my dear if you like the dude just "reward" him out of your own volition. Lakini asikudanganye kuwa amekupenda sana just because he's been after you for 4 months. Ukiwa na uelewa huu itakuwia rahisi kutokuumizwa. Ni kama *** friend tu mnakula bata maisha yanaendelea.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Mambo wakuu
Leo nmekuja kiutu uzima coz wanasema mie cjui utoto vikapanda vikashuka

Ni hivi?kuna baba mmoja huu ni kama mwezi wa nne sasa kiukweli anaonesha ananijali sana,na kwa vitendo na maneno yake inaonesha ananipenda kutoka moyoni kwani amenifanyia mambo (siyo yule niliyewahi kumzungumzia apa kipnd cha nyuma )

Mengi tu mazuri na hajawahi hata kuniambia maswala cjui ya kuonan wapi wapi huwa ananiomba antoe lunch kama sna nafasi nkimwambia anaelewa kifupi hana haraka na mimi anadai ana malengo na mm ila sijawah muuliza n malngo gani nafaham ana mke ila familia ipo nchi ya jirani yy huku yupo kikazi Tu.

Huwa ni mteja wa ofisini kwangu basi akija akikuta naongea na mwanaume au namfanyia kazi mwanaume badae atapiga simu ooh roho inaniuma sana coz I love u!

Basi me namshangaa coz cjajicomit kwake hata kidg lakn namshangaa
Sometmz nafikiria nimfanyaje huyu baba kiukweli mimi simpendi na nilishamwambia lakn the way anavyojitoa kwangu smtmz nawaza how can I du aniepuke.

Nishaurin nifanyaje wapnda
NBA sy lazma uchangie kama huna la maana na siyo lazma pia usome kama nakuboa okay??

Njia rahisi ya kumuonyesha kuwa hampendi ni kutopokea hisani anazo kufanyia. Kwa mwanaume mwenye akili, huo ni ujumbe tosha. Lakini kama unapokea chochote hata kama hukuomba basi unampa matumaini. Ana mke na watoto kwako anataka sex tu - hilo lipo wazi. Sasa amua kusuka au kunyoa maana wengine hela zetu haziendi bure bure.
 
Ananijali sana

subiri sasa aje akuombe tunda halfu umnyime wakati ameshajitoa kwako, tena mtu mwenyewe wa nchi jirani! Tutakusahau humu jamvini umukagame mamangu, kama humtaki na humpendi kaa nae mbali acha kupokea huduma zake kwa usalama wako
 
Dah ndiyo hicho nawaza umu mie Mungu anisaidie lhaaa
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

Wewe bhana acha ubishi! Mtu ana mke wake huko unasema anakupenda?
Fikiri mara 2 we mdada! Anatafuta pa kukojolea wakati mkewe akiwa mbali!
 
kama anakupa vitu usithubutu kukataa si unajua kutoa ni moyo? hahahaaaaa ila wew usithubutu kutoa vyako utaliwa ubaki unajutia
 
Hivi papuchi huwa zina nini?
Kwanini kidume kikishakula tena mara moja kinakimbia mazima wakati kimehudumia kama mara 20 hivi?

Kwanini?

nilimuuliza hili swali rafiki yangu ni play sana akanijibu yeye anapenda kuonja kila ladha awe mweupe mweusi muda mwengine namcheka anakuja na mademu ambap hawaeleweki ila yeye hajali sijui kwa nini
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

Ana mke yet unasema anakupenda😕..mpe papuchi uone
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

Kwisha habari yako.....
 
Back
Top Bottom