Recent content by MIMI NA TANZANIA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

    mbuzi kwenye gunia, utakuta ni mawe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mwanamke huyu?

    kosa kubwa ulilofanya ni kusomesha/kumuendeleza MCHUMBA, wenzako huwa wa invest kwa WAKE, mchumba hana dhamana ndugu.Huyo mdada si mtu mzuri, na usitegemee aje kuwa mke mwema.Achana nae.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

    kinachoendelea ni muendelezo wa usanii, ambao ytumeshaushuhudia kwa miaka nane sasa. Kikwete akiwa raisi ambaye ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri ameamua ardhi ya watu wa loliondo ipokonywe, mtu huyuhuyu ni mwenyekiti wa chama ambacho kinapinga ardhi ya wa watu wa loliondo kupokonywa.Huu ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Your man
  5. M

    JamiiForums Tanzania Weka maneno kwenye picha....

    baada ya ule mkanda wa bukoba boy, tuna mkakati mkubwa zaidi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    upo sahihi mkuu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ajisifu kwa kumpa Mbunge Nassari Laki Tano

    Dah, kama dogo Nasari alijichanganya kumuomba mwigulu, inabidi arudishe hiyo hela...yaani bora angetembea kwa miguu kuliko kuomba hela ya mafuta kwa huyo rafiki wa lusifa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    mi siku hizi nimebakisha, sports xtra tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    Mleta mada wanaosapoti wote ni wakabila sana, ukweli ndio huo kwamba wachaga wameenda shule zaidi, lakini pia kuna makabila kama kama ya wahaya na wanyakusa wamejikuta wakiitwa wakabila sababu za woa kushika vitengo mbalimbali.Sababu za kihistoria ni pamoja wamishionari ambao ndio waleta shule...
  10. M

    JamiiForums Tanzania FA leo: Manchester United Vs Chelsea

    pole, wrong enemy.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuibishia hii kauli...kwani nani hajui historiaya udini Tanzania, baada ya kutulizwa na Baba wa Taifa miaka ya mwanzoni baada ya kupata uhuru, udini uliibuka miaka ya themanini kabla ya kupoa tena miaka ya 1990 mwishoni na 2000 mwanzoni. Sasa imeibuka kwa ari...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    Tanzania zaidi ya Uijuavyo, eti Serikali ya jk ni ya kidemokrasia ndio maana tunaweza kumkosoa...kama kweli ya kidemokrasia kwanini mchakato mzima wa kusaini mikataba umetingwa na usiri, waswahili wanasema ukila na kipofu sawa piga matonge zaidi, ila usimshike mkono.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Na huko ulipohamia ukikuta, ni watoto tuu wa wakubwa wenye nafasi ya kupitishwa na hatimae kuwa viongozi?au ukikuta wanajishughulisha na 'ugaidi video production' au hata ukikuta huwezi pata cheo bila ndani ya chama bila mlungula (kama Zungu alivyonaswa)...utahamia wapi? huo unaitwa ukahaba wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    Mkuu inaonesha unafahamu vizuri kuhusu details za hiyo mikataba, kama vipi anza kwa kutuambia hiyo mikataba mingine inahusu nini (ni mikataba ya nini), alafu utupe na undani wake...utakuwa umesaidia jukwaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sijui cha kumshauri Kikwete.

    kwakweli bora miaka miwili ipite fasta fasta tuachane na huyu jamaa, ningekuwa na uwezo ningefoward (nipeleke mbele) hii miaka iishe haraka.
Back
Top Bottom