Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

Tendo la ndoa wakati wa uchumba!

Uwezekano upo, Ila wanaopendana kwa dhati hawachokani hata wakifanya mara kwa mara...na ni bora mfanye mara kwa mara mjue kama mtachokana au lah! , kabla yakuingia Ngomani kucheza
 
allow me to ask you...
Hivi unapotaka kula nyama ambayo umeinunua kwa "bucha", what do u do?
Unaila ikiwa mbichi, au unasubiri hadi ikiwa imepikwa tayari kwa kuliwa?

Usubiri nin? Mbona watu mnapenda kusubiri subir tuu eenh? Barabarani unasubiri, kwny Atm, kupata kazi, kujenga nyimba, daah kila kitu kusubiri tuu
 
aah wapi!!hakuna kuchokana kwenye uchumba unless hamkupendana.maana halis ya ndoa ni patano kati ya mume/mke mengineyo ni kuhalalisha patano lenu kwa wanadam na Mungu.hivyo kama ukiona unamchoka mtu basi hukumpenda nina mchumba wangu ndan ya miaka 3 tuna kutana kimwili ila kila cku iendayo anazid kuwa crazy kwangu na mie nampenda sana.ukiona penzi badala ya kumea linasinyaa si wako huyo umekurupuka.
 
Kama Usipokuwa mwaminifu kabla ya kuingia kwenye ndoa ujue ukiingia ndani ya ndoa unapata zerooooo kwa kila jamboo vumilia uone utamu wake milele Take care vijana
 
allow me to ask you...
Hivi unapotaka kula nyama ambayo umeinunua kwa "bucha", what do u do?
Unaila ikiwa mbichi, au unasubiri hadi ikiwa imepikwa tayari kwa kuliwa?
Mfano off the track.
Vitu vingine redi medi,
Vingine tek awei,
We umechukua tekawei, unataka ukapike tena?
Kula ikibaki tunza kwenye friji,
njaa ikija kula!
 
Naona nawe huelewi kama huyo mshikaji niliyekuwa namuelekeza...anyway tuachane na hii makitu!

Mfano off the track.
Vitu vingine redi medi,
Vingine tek awei,
We umechukua tekawei, unataka ukapike tena?
Kula ikibaki tunza kwenye friji,
njaa ikija kula!
 
Ni bora msifanye aise!! Maana kama mkaredhiana na kufurahia sana kila mmoja wenu, miili yenu ikaona huyu ndiye haswa nliyekuwa namuhitaji kwa nyanja hii, kwa bahati mbaya ikatokea mkaachana kwa sababu nyingine kama kushindwana tabia n.k; basi mjue kuna atakayepata shida sana hapo baadaye kwa kumbukumbu ya good time yenu na hata akija kuoana na mtu mwingine hataona anafikishwa kama ilivyokuwa kwa yuleeee!!!
 
Napenda kuuliza kwamba

kufanya tendo la ndoa mara kwa mara na mchumba yaweza kusababisha kumchoka mapema kabla ya ndoa?

Mtafanyaje tendo la ndoa kabda hamjaona? Any way sijafahamu kama ni kweli au la, Ila haya yote yanatokana na watu kutofuata maandiko ya vitabu vyao. Lau kama kila mtu atafuata kikamilifu masharti ya imani yake basi naamini hakuna kuchokana kabla na hata baada ya ndoa
 
Mtafanyaje tendo la ndoa kabda hamjaona? Any way sijafahamu kama ni kweli au la, Ila haya yote yanatokana na watu kutofuata maandiko ya vitabu vyao. Lau kama kila mtu atafuata kikamilifu masharti ya imani yake basi naamini hakuna kuchokana kabla na hata baada ya ndoa

Hapo nilipo bold mkuu; sidhani kama kuna kitabu kinaruhusu kushirikiana kimwili kabla.
 
Hapo nilipo bold mkuu; sidhani kama kuna kitabu kinaruhusu kushirikiana kimwili kabla.

Mtafanyaje tendo la ndoa kabda hamjaona? Any way sijafahamu kama ni kweli au la, Ila haya yote yanatokana na watu kutofuata maandiko ya vitabu vyao. Lau kama kila mtu atafuata kikamilifu masharti ya imani yake basi naamini hakuna kuchokana kabla na hata baada ya ndoa.

Nahisi umenipata tofauti mkuu, siku maanisha hivyo. Hata mimi nafahamu hakuna kitabu kinachoruhusu zinaa. Nilikuwa namaanisha kuwa endapo watu watafuata imani zao vizuri basi hawawezi kuanza kufanya tendo hili kabla ya ndoa na kwahiyo hawataweza kuchokana kirahisi. Na ndio maana hapo kwenye red nimeuliza....nadhani umenipata kiongozi?
 
Mecheka sanaaa haha we Lyamber c mzma
 
Back
Top Bottom