BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Sijawai kuwaombea mema Man U toka nizaliwe japo sina timu nnayoishabikia England, yoyote itakayocheza nao naisapoti.
television ya sky sports kutwa nzima inasema mata atakuwepo dimbani baada ya kukosa mechi mbili za chelsea..!hopefully mechi itakuwa nzuri na mwisho wa mchezo man utd ataondoka na ushindi ingawa man utd mara nyingi huwa wanaambulia kipigo kila wakisogea darajani
Na ukijuwa kuandika vizuri unatupa faida zaidi sisi wasomaji kujuwa ulikusudia kufikisha ujumbe gani.Ni chelsea vs man u.sio man u vs chelsea.
Unajua ukisema kitu kimija unawapa watu faida zaidi ya moja mfano ukisema man u vs chelsea ntajua mambo yafuatayo
1)leo ni siku ya match hiyo
2)ntajua kuwa man u ndo wenyej
3)ntajua kuwa itachezewa old trafod
4)ntajua kuwa m
an u watavaa jezi za nyumban
5)ntajua kuwa nyimbo gan za ushangiliaji zitaimbwa
6)ntkadiria idadi ya watu watakao ingia
7)ntajua wall gan ya man u itatumika kwa man u supporters kutoa mawazo yao
8)ntajua sut atakayo vaa furguson
9),ntajua bigjee atakazo kula furguson
10)ntajua kuwaaaa .....
kimoja