Nimfanyeje mwanamke huyu?

Nimfanyeje mwanamke huyu?

kosa kubwa ulilofanya ni kusomesha/kumuendeleza MCHUMBA, wenzako huwa wa invest kwa WAKE, mchumba hana dhamana ndugu.Huyo mdada si mtu mzuri, na usitegemee aje kuwa mke mwema.Achana nae.
 
Chapa mwendo kaka,hawa watu hawana fadhira hata ufanye mema vipi siku moja atakuona ---- tu.Ila kwa issue yako mi nakushauri achana naye hasara roho pesa makaratasi,unaweza lazimisha then baadaye uje kujuta.Wanawake wengi utapata shemeji mwingine tu.
Ila wanawake jamii ya hawa huwa wanatumiwa kama mpira wa kiume.,ila siku atakuja arudi utamsikia samahan,pumbafu.
 
uzuri wa cku hizi raha tupuuu!
hadi cku za kufa watu mnazijua
sasa ww unajua ameshalala na mume mwingine alafu unamtaka
wacliana na ndugu kama ulivyofanya kujitolea
kama huku wapa taarifa ndugu zake kuwa unamsomesha imekula kwako huwezimfanya lolote
 
Akumulikae mchana usiku hukuchoma.Huo ni usemi wa wahenga, (TAFAKARI)
 
hongera kwa uvumilivu, na pia camini kama upo pekeyako fanya uchunguz zaid juu ya hilo magonjwa tele now days.
 
Back
Top Bottom