Mwira Mwayo
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 142
- 15
Walidhani wamasai wangalikuwa bado usingizini, kumbe wenzao walishamshwa siku njyingi. Mtwara kulishindikana hata Loliondo nako kutashindikana. Watanzania wanaamka kwa kasi ya ajabu. Mungu ibariki Tanzania kwa kutuondolea hawa mafisadi wanaotutesha na kuiuza nchi yetu kwa bei ya suti!