Recent content by milundi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

    Mnazurula tu mtaani badala ya kukaa bungeni kujadili mambo ya msingi, sisi wananchi tuko bize na kazi msije huku kabisa, hatuna mda na porojo zenu, bajeti inaendelea mko mtaani, mmelogwa??????????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

    Haaaaahaaaaaahaaaaaaa, eeeeeeeh, uuuuuwi, nimecheka sana , Nyie chadema mnachekeshaga kweli, eti kuchukua nchi 2035, duh, kivipi sasa,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili La BoT, Usalama wa Taifa Ni Makini

    Kudos Jpm tutakujuza mini ukituruhusu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

    Mbona anajulikana huyo, ni MBATIA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Tunaomba sisi wananchi wa kawaida tupewe direct link na majaliwa na rais mwenyewe, ILI tumtajie wezi walionona , hao hapo ni vipanya tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Huge ni rais wa watu makini, wanaomchukia ni wale ambao either wametumwa kufanya hiyo na INVISIBLE HAND, WAO, au ni wachawi , au ni profound mental disturbed, au ni wezi ambao baadhi wametumbuliwa au wamebanwa sehemu, NONSENSICAL
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze upendo wa kweli kwa Magufuli na Shein

    Kampa kampa kampa tena
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

    Ila matusi gene mliozoea huko kids Msijee nayo, hasa vidada vya Nida vina matusi sana, fool
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

    Walipwe kwa walichofanya, per kitambulisho@500mia tano kila kitambulisho, wingi wa vitambulisho ulivyotengeneza ukizidisha Mara mia tano ndo hela anayopaswa kulipwa mtu, other wise karibu mtaani mywe banana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Republican establishment wanamchukia sana Donald Trump?

    AMERICA is not a garden where any body can decide what to plant, it has its own international policies that governs who and how should the govt admnstration be for the benefit of the whole globe. TRUMP is insane, has his schizophrenic syndrome which drives him to talk , do , decide , and resolve...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

    Nilikuwa namuona kipindi cha uchaguzi akiwa msemaji mkuu wa chadema, alikuwa anafanya vizuri tu, MBATIA,
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

    Mbatia anaweza, jaribuni
  13. M

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Mimi niliwahi kulima mihogo ya KAEMP ina soko sana huko UGANDA, nililima miche elfu tatu, nlipo vuna, nikapata karo nikaja hapa Dar nikajiunga na chuo cha ualimu STMARYS nimemaliza nasubiri post, kazi ya kilimo hiyo. Big up Massanja
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

    Mpeni mbatia
Back
Top Bottom