CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,854
Reaction score
1,776
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna dalili za kumpata Katibu Mkuu Huko CDM, ebu basi mfikirieni Huyu bwana aliyejitolea kuwa Afisa habari wenu wakati wa Kampeni mpaka akawatosa wanawe na kusalimika peke yake. Huyu anafaa... Mfikirieni tafadhali.
 
Mnaandika wenyewe mnajadi wenyewe MNA Quall wenyewe full of imitation in this nation

simple mind discussing people
 
Hivi wale vijana 46 tayari washapatiwa kazi? Hebu watendeeni haki maana walifanya kaz kubwa
 
wampe nafasi hiyo Kamanda Sumaye. anatosha. msipompa cheo atatutoka mapema. anaweza akarudi ccm kwao tukifanya mchezo. mnajua huyo ni asset sio kama Lowasa. Lowasa ni liability

cc. Dr Slaa
Mbowe
Mch Msigwa
Lema
 
CCM wanawachagulia chadema kiongozi wakati wameidhoofisha CUF kwa kuwaambia ni ya kiislamu
 
Nilikuwa namuona kipindi cha uchaguzi akiwa msemaji mkuu wa chadema, alikuwa anafanya vizuri tu, MBATIA,
 
Mngeshauri kuwa Chadema kuwa ipate nayo Katibu jangili muuza meno ya Tembo ili ifanikiwe ningejua kuwa kweli ushauri wenu unatoka moyoni na kwa mapenzi mema. Kawaida ukionacho kizuri kwako sii unampa na mwenzio?
 
Back
Top Bottom