Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.

Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.

Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
Siasa unaijua au unaisikia ? Tuliosoma political science tunajua kinachofanyika, NARUDIA NA NITARUDIA TENA KUWA jina la utani ukilikataa ni la kwako Hilo, wao wanaenda mnawafuata, mnawazuia na kuwaweka ndani, sasa ona kinachotokea, ni media coverage, TV, radio na magazeti. Wanahitaji nini tena, KUMBE wangeachwa aliyeko Mtwara, Kilimanjaro na Tz kwa jumla asingehaika nao, BELIEVE IT OR NOT POLICE wanawapa advertising ya nguvu mbaya bila wao kujua na km kuna amri huyo ANAE itoa hajui athari zake. Nguvu za opposition parties zinaogezeka kwa kasi ya ajabu tusi jidanganye hata kidogo kuwa upinzani utakufa. Leo hii bunge limesahaulika gafla, why? Jibu ni moja tu, usidharau mwiba mguu utaota tende, tchao.
 
Muda wa bunge huu, rudi bungeni fanya ya ubunge, matawi achia miti
 
Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.

siasa ni kazi ya majukwaani na mabarabarani? unataka vyama vya siasa vifanye kazi gani?
 
Sisi wananchi wa jimbo la Mbowe huku Boma ng'ombe tuna shida ya maji..mbunge wetu anazurura tu mwanza
 
Rejea misingi au nguzo za neno "Democracy". Kwa nn wazuiliwe? Mnaogopa nn? Km mnatenda haki waache waongee na wananchi wao....kwa akili za kawaida kuna ki2 mnaogopa nyie govt
 
Akihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi​
uroho wenu wa madaraka ndio unawacost,mngemuacha babu slaa,na jembe zitto mngekuwa next level
 
Mwanza kunani?
Simba wa chadema wanarandaranda mjini.....wamekuja kuchukua ngome yao....mji umechemka balaa,wana usalama hawataki hata mbowe aende supermarket kununua maji,hawataki mbowe aende sokoni kununua sato, hawataki asalimiane na rafiki zake wa siku nyingi hapa mwanza,
 
Yaani hata mawimbi ya ziwa Victoria yamebadilika....yanavuma kwa nguvu yakisindikizwa na upepo mkali.......polisi wameacha kunywa chai.....wako kiguu na njia kujua mbowe anafanya nini na yuko wapi.....hakika wanajua gwiji la siasa za upinzani liko mwanza
 
Ccm acheni upuuzi.msidhani kuwa mmewanyamazisha wapinzani noo.kuna njia na mbinu nyingi za kufanya harakati nchini.njia ya mwisho kabisa ni kuunda uasi wa kijeshi.mbona kuna nchi nyingi zimefanikiwa kwa hilo.acheni upuuzi jengeni tz ya watz na sio tz ya ccm
 
Mnazurula tu mtaani badala ya kukaa bungeni kujadili mambo ya msingi, sisi wananchi tuko bize na kazi msije huku kabisa, hatuna mda na porojo zenu, bajeti inaendelea mko mtaani, mmelogwa??????????
 
Matawi gani jumapili mwanza Kama sio kutafuta media coverage za bure. Mbona hukwenda kumtambulisha mashinji ulipomchagua kuwa Katibu mkuu hapo ungeonekana WA maana. Watu WA mwanza kuweni makini fujo za Arusha wanataka kuziamishia mwanza. Semeni hapana apeleke fujo zake Hai

Tulia wew. Unafikiri uta escape?? Subiri dawa ikuingie. Si mlisema mtaisoma namba!? Kumbe mlikuwa mnajiambia mlivyo mbumbu...je, nyie ccm janga la sukari haliwagusi?? Bora mngeimba tutaisoma namba......shame upon you
 
Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.

Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.

Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
We ccm siasa za hoja zinaruhusiwa wapi wakati bungeni mnanyima demokrasia,hata vijiweni hoja zinaweza kutolewa pia
 
uroho wenu wa madaraka ndio unawacost,mngemuacha babu slaa,na jembe zitto mngekuwa next level

Huyo babu mliomchukua aliwasaidia nini?? Hatumtaki wala hatujamtamani. Zito mlimtumia sasa amewajeuka....kwa taarifa yako zito alikuwa rafiki yake baba riz sasa mtaisoma namba. Mtajutaaa
 
Mnazurula tu mtaani badala ya kukaa bungeni kujadili mambo ya msingi, sisi wananchi tuko bize na kazi msije huku kabisa, hatuna mda na porojo zenu, bajeti inaendelea mko mtaani, mmelogwa??????????
Siasa ni Kazi na kazi ni siasa....siasa inafanyika muda wote na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu,katiba inataja siasa katika ibara zake,chama cha siasa huongoza nchi,na sio chama cha wauza mahindi,chama cha siasa kina wajibu wa kujitanua,kujiimarisha,hata nyerere aliamua kuuacha uwaziri Mkuu wa Tanganyika akaimarishe chama....ni
Mwanasiasa alisababisha sukari ipande,UDOM wafukuzwe,huyu mwanasiasa lazima ajibiwe na wanasiasa,wananchi na wanaharakati
 
Back
Top Bottom