Kwanini Republican establishment wanamchukia sana Donald Trump?

So are you saying the Republicans who are voting him in are buffoons??? or they just want a change?

I think those who vote for him are the lunatic fringe [of the party].

But, in some of the open contests I wouldn't be surprised if some Democrats crossover and vote for him because they believe him to be the weakest candidate.
 
Come the election,you could be eating your words
 
Republicans wanahisi Trump kuwa mshindani wa Clinton is a lose lose situation,hawaoni uwezekano wa Trump kumshinda Clinton katika ballot box
...Mgombea pekee walionae ni Marco Rubio. Hao wengine -Trump na Cruz- ni kama wana "spoil the party".

...A bigger challenge for them is too see Rubio nominated. A hard one, i might add.
 
...Mgombea pekee walionae ni Marco Rubio. Hao wengine -Trump na Cruz- ni kama wana "spoil the party".

...A bigger challenge for them is too see Rubio nominated. A hard one, i might add.
Hapo ndio watakapokuwa wanakisambaratisha chama, Rubio ameshinda majimbo mawili tu kati ya ishirini yaliyokwisha fanya primary/ Caucas. Mitt Romney alikuwa anataka kujichomeka kiaina, wazee akina Newt Gingrich umewasikia walivyoanza kumtolea uvivu!.
 
Trump ni radical, hawezi kuwa Rais wa marekani, never!

That it....

Kinachomfanya aendelee kuonekana kama atapata kugombea after total final poll za states zote ni minority people who are also Radical....

Kumbe politics ni game ipo mikononi mwa watu na America wamefikia level ya juu saana ya civilazation..

Kiasi kwamba mwanasiasa kiongozi hauendi even with all VOTERS hata iwe ethnic group fulani hivi ambao ni minority ujue wanakunjanja day end,
Trump yeye he doesn't give a damn about those people na ndiyo hapo game itakapo backfire kwake!

My take, nakubaliana na wewe mkuu
 
kwenye election campaigns,Trump will drag Clinton in the mud,mudslinging,character assassination etc etc. Americans will have a field day
...And yet, it'll be a landslide for Clinton.

...If things remain mostly unchanged, Americans are going to make history again, in a row!
 
Trump ni radical, hawezi kuwa Rais wa marekani, never!

That it....

Kinachomfanya aendelee kuonekana kama atapata kugombea total final poll za states zote ni minority people who are also Radical....

Kumbe politics ni game ipo mikononi mwa watu na America wamefikia level ya juu saana ya civilazation..

Kiasi kwamba mwanasiasa kiongozi hauendi even with all VOTERS hata iwe ethnic group fulani hivi ambao ni minority ujue wanakunjanja day end,
Trump yeye he doesn't give a damn about those people na ndiyo hapo game itakapo backfire kwake!

My take, nakubaliana na wewe mkuu
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la watu maarufu ndani ya republican wanaompinga Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama hicho. Alianza John McCain, Mitch McConnell,Lindsey Abraham,Mitt Romney na sasa kuna afisa mstaafu mmoja wa jeshi.Hivi ni kwanini wanampinga sana Trump? Anatishia maslahi yao?Ni tishio kwa ajenda yao ya kuendelea kuleta machafuko sehemu mbalimbali za dunia kwaajili ya maslahi yao ya kimadaraka na kuuchumi?
Trump kama mimi tu,nyekundu ni nyekundu na black always black
 
AMERICA is not a garden where any body can decide what to plant, it has its own international policies that governs who and how should the govt admnstration be for the benefit of the whole globe. TRUMP is insane, has his schizophrenic syndrome which drives him to talk , do , decide , and resolve matters o his own way, thing that can not be acceptable, .America is a free land, dini zote, rangi, kabila, zote zinaruhusiwa kuishi pale ilimradi hazivunji sheria, sera zake kwa mataifa ya nje zinakinzana na taasisi nyingi za kimataifa, Pope tayari amesha anja joto la boiller, hana hamu, Mugabe, M7, na wengine kama kabila, bashir, na wengine, asipoangaliwa na kudhibitiwa, ataleta mtafaruku mkubwa kwa dunia kitu ambacho kitaigharimu America for centuries
 
Hapo ndio watakapokuwa wanakisambaratisha chama, Rubio ameshinda majimbo mawili tu kati ya ishirini yaliyokwisha fanya primary/ Caucas.
...Ukitaka kujua jinsi wazito Marekani wasivyotaka ujinga, Bloomberg ameacha kugombea binafsi, asije akazigawa kura za mama Clinton.

...Since Palin and Tea Party, Republicans have been a mess. Fear, loathing and insecurity among hardcore members is paralysing the GOP.
 
Back
Top Bottom