Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

Mvujisha siri za CHADEMA ni Marehemu?

Sasa hivi ana chama chake, na vibwetere wake wametawanyika kwenye vyama mbalimbali, chadema imebaki salama kama SAFINA YA NUHU wateule tu ndio wanaosafiri na chombo hiki.
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
 
kamanda katibu mkuu mbona anajulikana. si bwana Sumaye kwani ni siri. wala haina haja yakuficha ficha
Katibu mkuu wenu yule mmiliki wa meli iliyokamatwa na shehena ya meno ya tembo anaendeleaje?
 
Hapana mvujisha siri yuko hai kabisa sema kashaondolewa kwenye corridor za mtaa wa Ufipa.
 
Kama sio siri mbona wewe ndio wa kwanza tunakusikia? Au uneoteshwa kama Babu wa Loliondo?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh mkuu umenikumbusha baba mwasapile kina wasira walikuwa wakwanza kwenda kugonga kikombe,chezea wewe?
 
Hapana mvujisha siri yuko hai kabisa sema kashaondolewa kwenye corridor za mtaa wa Ufipa.

I believe kabisa ni slaa na sio zito...zito alishawahi kulalamika pale ambapo barua yake ilivujishwa
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
wewe mbona unavujisha siri za Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kila siku? nimeshamwambia ASSAD akuangalie vizuri kwa kwa umakini mkubwa
 
Sasa mkuu mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe, sio kwamba mtoa taarifa amefariki La hasha ila suala lililopo ni kuwa hilo jina la Katibu Mkuu wa Chama analoijua Mbowe tu kwa hiyo nafikiri hata mkewe halijui na hata hakuna kamanda yeyote anayelijua mpaka sasa hivi. We ngoja tusubiri mzee wa kubadili gia angani atakavyomteua Katibu wake.
Karibu sana jf maana naona bado una kamba mguuni
 
I believe kabisa ni slaa na sio zito...zito alishawahi kulalamika pale ambapo barua yake ilivujishwa

Hata mimi naamini kabisa Dr Slaa na Mke wake ndio walikuwa vinara wa kuvujisha siri walifanya hivyo makusudi kwakuwa Zitto alishawekewa mark xxx siku nyingi.Ninaamini Mke wa Dr Slaa alikuwa na uwezo wa kuingia kwenye computer ya mchumba wake na kudadavua siri nyingi za chama huku Dr akizidiwa na penzi la uzeeni bila kuchukua hatua zozote za kukisaidia chama.
 
Lowassa kajitangaza kugombea 2020, vipi kamati kuu imeshampitisha?
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Chadema huchukuwa kada wa CCM kuwaongoza...ndio akili za hao viongozi wenu...huwezi kujishughulisha na mfu...chadema ni mfu.
 
Mpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Nani kakudanganya kama jina bado hatujalipata?tumekaa kimya maana jamaa aliye teuliwa ni bonge la boko ndio maana tumekaa kimya ili mvurunde vizuri,maana tukiwashtua kuwa tunamjua mnaweza mkajifanya mnachange geer angani halafu mkadondokea pua mkapotea zaidi tukawakosa vibonde wetu kwenye medani ya siasa.
 
Hata mimi naamini kabisa Dr Slaa na Mke wake ndio walikuwa vinara wa kuvujisha siri walifanya hivyo makusudi kwakuwa Zitto alishawekewa mark xxx siku nyingi.Ninaamini Mke wa Dr Slaa alikuwa na uwezo wa kuingia kwenye computer ya mchumba wake na kudadavua siri nyingi za chama huku Dr akizidiwa na penzi la uzeeni bila kuchukua hatua zozote za kukisaidia chama.

Nakubaliana na wewe

Lakini Pia U double Agent wa slaa inaonekana ni wa muda mrefu

Siri za CHADEMA zilikuwa zinatoka sana

Jinsi Slaa alivyoondoka ni evidence tosha ya U double agent.......Zito alichezewa faulu makusudi ili slaa asishtukiwe

Without Slaa ,sasa CHADEMA inaweza kukua haswa......
 
Katibu hajulikani ila ni lazima atoke kaskazini.

Katibu mkuu wa chadema hawezi kutoka sehemu yoyote zaidi ya kaskazini.

Kauli ya kipumbavu kabisa hii, ubaguzi utawaua, mnawachukia sana wa kaskazini lakini ujue wa mbili ni wa mbili tu.
 
Katibu hajulikani ila ni lazima atoke kaskazini.

Katibu mkuu wa chadema hawezi kutoka sehemu yoyote zaidi ya kaskazini.
Kuna tatizo?sasa kama ana sifa za kumfanya awe katibu mkuu asichaguliwe kwakuwa katokea kaskazini?angetokea nje ya nchi hapo tungejadili.
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
Tunasubiri taarifa ya mapato na matumizi ya uchaguzi mkuu....
 
Back
Top Bottom