Recent content by Millionaire Mindset

  1. Millionaire Mindset

    Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua? WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’ MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu...
  2. Millionaire Mindset

    Umenasa kwenye mtego kwa sababu umejichanganya

    Kuna wakati unahisi mambo hayaendi, hasa katika masuala ya fedha na kipato. Unaona unapambana kwa bidii lakini maendeleo ni kama vile hayaonekani. Unahisi umerogwa siyo? NATAKA kukwambia UKWELI kwamba ni kweli kuna mtu anakuchezea, lakini mtu huyo si mwingine, bali ni wewe mwenyewe. Najua...
  3. Millionaire Mindset

    This world has gone MAD!

    Yeah sorry i started on that foot! But i meant what i said, its just that, I mean something else. The Nuclear war heads we keep producing and keeping, under the guise of MAD-Mutually Assured Destruction. Let say you are an Alien, looking down towards this pale blue planet, and you saw some...
  4. Millionaire Mindset

    Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  5. Millionaire Mindset

    Kibarua, msaidizi

    do you have any driving experience at all?
  6. Millionaire Mindset

    Das es salaam stock Exchange needs to act serious for citizen to take them serious and invest

    Thanks! i was looking for the opportunity to invest in one of companies there, but what I found was insufficient and not impressive. I will check on that App, may be it could be helpful, but if DSE guys keep doing what they do now, I`m not sure if the majority of Tanzanians are going to learn...
  7. Millionaire Mindset

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    migomba dar naipataje?
  8. Millionaire Mindset

    Huduma chapu chapu

    bei kwa kilo ya kila kimoja hapo juu please!
  9. Millionaire Mindset

    Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  10. Millionaire Mindset

    Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  11. Millionaire Mindset

    Tumia vigezo hivi vitano (5) kuichuja njia ya polepole na nyinginezo za kuelekea kwenye mafanikio yako na utajiri

    KIGEZO #1: MAHITAJI YA NJIA YA FOLENI Ukisikiliza swaga za watu wa njia ya foleni ni kama hizi; “Nikasomee kitu gani, kitakachonifanya nipate mshahara mkubwa?”, “Hivi ni kampuni gani nikaajiriwe, inayolipa vizuri kuliko nyingine?”, “Nikiajiriwa serikalini itakuwa poa sana, Nitakuwa na uhakika wa...
Back
Top Bottom