Recent content by Milipede

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

    Buhongwa ni wapi vile??? Kama sikosei ni kanda ya ziwa hivi kuleeee mwanza waliko wasukuma.........mkuuu pole sana na pia uko sawa maana haya mambo yanawenyewe na wenyewe wanafanya zaidi ya ilo na hakuna chemical wala uncle ake chemical ni naturaaaaal tu kaka pole, karibu kwa wadigoo wazee wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mume wako mchafu, usinisumbue

    Amestaff usister saivi ni mwendo mdundo milistecy
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijasikia ACACIA wakijitetea, namsikia Mtanzania Tundu Lissu akiwatetea!

    Hujasikia wakijitetea coz hienda hujataka kutefa masikio lakini pia huenda hawahitaji kujitetea coz wana standing valid proofs muda ukifija watazitoa Leseni ni ya uchimbaji na sio umiliki wa ardhi ni sawa lakini hata dhahabu inayopatikana ni sehemu ya ardhi pia ila haijazuiliwa na inakua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Umetisha sanaaaa mkuu yaaan........
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

    JF sijutiii kuifahamu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maskio yangu yanapiga kelele

    Huwa inatokea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pata viatu vya mtumba grade one.

    Cha pili size 42
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maskio yangu yanapiga kelele

    Kapime pressure
  9. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    It needs a gut to stay unmuted on such stuffs an i really strong gut and if we dont have strong one, utakua shahidi on how thing will turn on us...........and it may not be on acacia possibly kuna mtanzania ndo anachengesha data na ku compromise acacia pengine acacia ni wezi,so lets not be one sided
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    [emoji15] hazikutoshi wewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Contraceptives

    Hapana si kweli
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Sijui hata kama wako na website jamaa ila nitajaribu nikutafutie data zao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Raha na karaha za kuoa mwanamke mzuri

    Mkuuu uko sawa tena ma x wananguvu hataree mpaka unajiona mdogo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Mamlaka ya usajiri inaitwa Private hospital advisory board wanapatikana pale kidongo chekundu posta
Back
Top Bottom