Mume wako mchafu, usinisumbue

Mume wako mchafu, usinisumbue

Pls naona unataka kuniletea stress zako,hii mambo si tulishayamaliza au ndio mashetani yako yamekupanda huko ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliamaliza nanani. Just give me a break. Hata yakinipanda inahusu. I don't see any collocation mashetani kunipanda nakuniletea stress zako jioni hii. Kwendraaaaa mbwa mkata nyororoooo. Kwendraaaaa. Mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ukitoroka ustista au upadri ni laana na hakujawahi kumuacha mtorokaji salama
 
kama mume ana miaka 70 mke si anayo 70 au 68? wote si wazee jamani? hizo boxer atafua saa ngapi ukute na uzee umemjia na maradhi? tuwaheshimu mama zetu na wabibi wetu.tuwaache wale uzee bila stress na wapenzi wao jamani loh
Hahahaaaaaaa, watu wanabeba Mababu itakuwa Mababa, uzee ni vile unavyojiweka hakunaga mzee.
 
Ni aibu kutembea na mtu mwenye umri sawa na babu yako au baba ako. Foolish
 
kaaaazi kwelkwel

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom