Umeongea point mkuuWatu muwe makini hapa kupigwa nje nje. Maanake haiwezekani mtu atangaze biashara ya viatu kwa kutumia picha ambazo sio zake, maanake hizo products hana Sasa ukimtumia hela kinachofatia nn? Anaetaka kuhakikisha account yetu ya instagram bigdeal_mtumba_shoes angalia viatu vilivyopigwa picha hasa hasa kwny hyo computer na vilivyowekwa mdau humu.
huyu ni tapeli manake haelekezi huko pasiansi yupo maeneo gani wala duka linaitwaje anakua na kiuoga flani. hata bei zake kwa kiatu cha kiume hazina uhalisia. we need to proceed carefully
Unatumia jina gani Insta mkuuMuongo huyo maanake viatu vyote alivyopost 90% viko ofisini kwetu Na sisi tupo Dar. Angalia picha nilizopost za account ya Instagram ndio utanielewa. Watu wawe makini watakuja kupigwa
....acha kulala sasa.,andaa tangazo post wewe,ushapata mileage;Muongo huyo maanake viatu vyote alivyopost 90% viko ofisini kwetu Na sisi tupo Dar. Angalia picha nilizopost za account ya Instagram ndio utanielewa. Watu wawe makini watakuja kupigwa
Hahaha.....hali ngumu aiseee!!![]()
Elfu 28,000/=
![]()
Elfu 28,000/=
![]()
22,000/=![]()
![]()
Elfu 25,000/=
![]()
Elfu 30,000/=
![]()
Elfu 30,000/=
![]()
Size 42.Elfu 30,000/=
![]()
Ngozi size 44...35,000/=
![]()
Karibuni sana.
Size 44.Bei 35,000/=
![]()
Size 44 .Bei 35,000/=
![]()
Size 43.Bei 35,000/=
Napatikana Mwanza na ninatuma mzigo mikoa yote.
Contact. 0789678900
Hahhaaa raha sanaMkuu Mamylicious mbona thread yako imekaa kitapeli? Mbona picha unazotumia za viatu ni vya kwetu? Na hizo picha hapo ni ofisini kwangu big deal stationary? Yani utoe picha kutoka account ya Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes halafu unasema viatu unavyo mwanza.
Ningependa kukusaidia Jambo moja inawezekana unania nzuri na mipango mizuri kibiashara Ila fahamu dunia sasa hv ni ndogo watu wote tupo kwny mitandao. Sasa kwa mfano mtu akitaka viatu ulivyopost utakuwa navyo? Na ulichonifurahisha zaidi mpaka jina la mtumba grade A umedesa. Hahahahaha jaribu kuwa mbunifu kidogo Na ufanye biashara. Sasa hivi tumeleta mzigo wa socks Sasa sijui utadesa Na hiyo ila mind you Hizi socks sio mtumba.
Unatumia jina gani Insta mkuu
....acha kulala sasa.,andaa tangazo post wewe,ushapata mileage;
..watu wamezielewa kazi!