Badilisha avatar yako yatarudi kwenye hali ya kawaida.Nilikuwa natumia doze ya tb,katikati ya ugonjwa maskio yangu yakawa yanatoa sauti (psssssss!) Had Leo nimemaliza doze bado tu.sababu ni nini?
Kapime pressureNilikuwa natumia doze ya tb,katikati ya ugonjwa maskio yangu yakawa yanatoa sauti (psssssss!) Had Leo nimemaliza doze bado tu.sababu ni nini?
Huwa inatokeaWenye presha wana tatizo hilo kumbe?
Mkuu nitafute nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.Nilikuwa natumia doze ya tb,katikati ya ugonjwa maskio yangu yakawa yanatoa sauti (psssssss!) Had Leo nimemaliza doze bado tu.sababu ni nini?
Sio wote wenye pressure ni baadhi yao tu ila pia kama unafanya kazi sehemu yenye kelele nyingi kama kuvaa earphones au vitu vinavyokwaruza kama mabati/chuma n.k au vitu vinavyogongwa kama mabati au chuma,ukikaa muda mrefu kwenye hayo mazingira unaweza kupata hiyo shida,kingine ni baadhi ya madawa pia yanaweza kusababisha hiyo hali.Wenye presha wana tatizo hilo kumbe?