Recent content by milele Tz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Sasa nimejua vyema dhamila yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Marejesho yanachangia sana uzinifu wa wake za watu na ushirikina kwenye ndoa

    In shot hapo unajimaliza kinamna even though in return unapata penzi and then pesa imepotea . Hapo wameshakujua tabia yako Nakuhakikishia watakuja wengi sana kwa mfumo huo. Mimi niliwahi mkopesha shemeji yangu na nilikwenda kuchukua fenicha Alihalakisha kumjulisha mumewe na nilipata nalipo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Oya si mchezo wazee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

    Kama sijakosea walisema ndani ya siku mia za mwanzo au sikumbuki vizuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Inaweza kuchangia mdololo wa biashara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa memes tupia chako tupunguze stress

    Sure
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza cement

    WAZO zuri sana . Unamtaji mkubwa nenda kiwandani Kama Bado unajitafuta Usisahau kuwekeza na ishu ya kumsafirishia mteja. Nachojua itakuvuta uingize na bidhaa zingine. Kila la kheri mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Kama ni kupangisha nadhani ni sawa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

    Mdau ameshauli poa .sana . Wewe ni mtumishi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna faida gani kuzaa watoto hapa duniani? Mimi naona hakuna faida, ni kuletana kwenye shida na matatizo, pia kujiongezea majukumu tu

    Nadhani mwenye maada anatambua vizuri nn anasema na kumaanisha. Hii hali inawakumba wengi na hawawezi kusema . Ila watu wasiopenda kuzaa au kuwa na familia ni wengi . Kina siku nilimcheck video ya mdada wa Kenya alikuwa anaweka shape fake ya kalio . Alikiri hapendi kuwa na mtoto katika maisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili, nataka washauri wakongwe tu

    Habari za leo. Katika maisha ya biashara Kuna Muda lazima ufanye mabadiliko . Sasa nimekuwa na mawazo hasa mabadiliko nayotaka kuyafanya kwenye biashara yangu. Ok Mimi ni muuzaji wa vifaa vya umeme vya majumbani ,taa za Urembo na sasa naingia umeme wa viwandani. Hapo awali nilikuwa nauza...
Back
Top Bottom