Biashara ya kuuza cement

Biashara ya kuuza cement

WAZO zuri sana .
Unamtaji mkubwa nenda kiwandani
Kama Bado unajitafuta
Usisahau kuwekeza na ishu ya kumsafirishia mteja.

Nachojua itakuvuta uingize na bidhaa zingine.

Kila la kheri mkuu
 
wakuu habali za mda huu naomba ushauri nataka kuweka pesa yangu ktk biashara hii ya cement aina zote zote ili nikuze mtaji taratibu taratibu ushauri kutoka kwenu plzee...
Mkuu wewe Fanya tu, wasomi wengi mnafanya research sana sometimes mnakatishwa tamaa, Fanya utajifunza mbele ya safari.
 
Kuna dogo yupo Salasala anafanya delivery kwa wateja wake wa cement

Alianza na Haoujue 2, akaja kununua kirikuu, canter sasa hivi ana gari kubwa

Mzigo anachukulia kiwandani na anakula deal na mawakala wa Twiga

Pia anajua kuishi na mafundi wakienda kumuungisha

Fanya delivery, cheza na mafundi na engineers

Baadaye fungua hardware ya vifaa vya ujenzi na kiwanda cha tofali utashika site mwanzo hadi mwisho

Alianza na mifuko 100
 
Sio cement tt ukiweza fanya vifaa vya uenz tena mung akijalia ukipata eneo ambalo ndio linajengeka yaani makaz mapya utatoboa chap ila usisahat kua na kagali kakubebea wateja mizigo yao (ukibahatika kufanyia iyo mishe dodoma hutojuta)
 
Kanyaga twende tuko nje y muda.
Kazi ni kipimo cha utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom