Recent content by MikwanjaMirefu

  1. MikwanjaMirefu

    Biashara ya korosho

    Samahan mkuu, hivi mti wa korosho unaweza toa kilo ngapi kwa makadirio ?
  2. MikwanjaMirefu

    Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

    Mkuu utafanya transfer kutoka kwenye bank yako ya huko kwenda bank ya bongo. Angalia option ya international transfer
  3. MikwanjaMirefu

    Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

    Tuma kwa bank za bongo exchange rates n nzur zaid ya western union
  4. MikwanjaMirefu

    Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

    Naona umekosa kazi ya kufanya mkuu. Huo muda wa kufuatlia maisha ya watu unaupata wapi?
  5. MikwanjaMirefu

    Shamba hekari 500 mkuranga/hekar 1 mil 2

    Ukipata ya bei Kati ya laki na laki 2 unichek
  6. MikwanjaMirefu

    Shamba hekari 100/hekar 1 tsh 700000/=

    Ukipata yenye bei kati ya laki na laki mbili kwa ekari unishtue. Minimum ziwe ekari 50
  7. MikwanjaMirefu

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mungu akujalie maisha marefu bro Kubota. Watu makini wanajua mchango wako hapa JF.
  8. MikwanjaMirefu

    Nauza jumba kali bei safi

    Mkuu sababu gani imekupelekea kuiuza nzuri kwa bei rahis
  9. MikwanjaMirefu

    Msaada wa hatua za kuuza matunda soko la nje

    Nashaur uwatafute AMAGRO au Natureripe Kilimanjaro watakusaidia kwa ushaur
  10. MikwanjaMirefu

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Nataka chumba kimoja chenye choo chake , bei iwe kati ya elfu 40 na 60. Isiwe uswahilin sn, pia wapangaji wawe wachache
  11. MikwanjaMirefu

    Aina kumi za ndoa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you have made my day man
  12. MikwanjaMirefu

    Wakuu wa mizigo/Voda faster /Take away

    Tunashukuru kwa kutushtua mkuu #MichepukoSiyoDili
  13. MikwanjaMirefu

    Waalimu Tukutane Hapa

    Mi nashauri walimu wenzangu kuchangamkia habari za scholarships kwani kuna fursa nyingi za kwenda kusoma nje kwa walimu mfano mzuri ni program ya kufundisha Kiswahili Marekani inayoitwa Fulbright, ambayo taarifa zake zinapatkana ktk website ya ubalozi wa Marekani. Uzuri wa scholarship ni kupata...
Back
Top Bottom