Waalimu Tukutane Hapa

Waalimu Tukutane Hapa

UTICHA UKIKUKALIA POA KOPA FANYA MAMBO YAKO UFANISI KAZINI 20 MAMBO YAKO 80. Maisha yanaenda. Kanuni za mwalimu kufanikiwa. 1. Kopa xna fanya mambo yako 2 fungua miradi ikuzalishie ikibidi fundisha shule hata 2. 3 kuwa karibu na wenzako hasa Mwl. Mkuu/head master.4 kuwa na roho ngumu usiogope vitisho hasa barua za maonyo pind unapokuwa mtoro au unapo shndwa kutimiza majukumu. 5. Fanya kaz kwenye mazingira yenye fursa za kimaendeleo. Usiwe na mkono mfupi kwenye mambo yanayohusu maslah hasa Cheo na Teuzi mbalimbali na semina, madaraja. na uhamisho wa kimaslah zaid. Jiendeleze kielimu. oa au olewa na mtu mwenye kipato msomi mfanyabiashara au ajira kama inawezekana. Tumia fedha yako vizuri weka kumbukumbu zako za kimahesabu inshort HESHIMU PESA YAKO HASA PALE UNAPO ITUMIA AU IHIFADHIA JEE NI SALAMA JE INAJIONGEZA?i.e investive
 
Hahahah.... karibu mkuu CHAMVIGA moyoni mwangu.... ila nunua Bunduki kabisa ili kunilinda.
CC: Dada gfsonwin.

Aaa Madame B hata siitaji kununua bunduki ya kukulinda niliyonayo itakuweka salama kabisa mikononi mwangu. Ngoja tusigeuze hili jukwaa malengo yake tutakutana kule Cc. Habari zimfikie Mamndeny.
 
Last edited by a moderator:
Mawazo haya ndio huwa nayapinga kila siku
Umesomea Ualimu Na unafundisha ila Hilo SIO linalokulisha Na kusukuma gurudumu lako la maendeleo Bali kikazi kingine "B" ndicho kinachokusukuma Basi wewe hukupaswa kuwa mwalimu Bali mfanya hiyo Biashara. Hata Kama una vijibiashara au vikazi vingine lazima vichukue only 20-25% of your accumulations lakini lazima Kazi mama iwe sterling kuendeshea maisha.

Kusema serikali inakupa mda-uji Wa Kufanya mambo mengine ni UZEMBE MKUBWA, thats why walimu hawajiandai vema Na matokeo yake ndio zero tunazoziona. Mwalimu huyo auze bajia, Maandazi, vitumbua Na aandae scheme of work Na ma lesson plan, apitie hadidu Za SOMO Na mifano hai yakinifu saa Ngapi??!???

TUSIDANGANYANE

yaaaah umeongea ukweli mtupu thats why... am to quit the job soon; ualimu ni majanga
 
UTICHA UKIKUKALIA POA KOPA FANYA MAMBO YAKO UFANISI KAZINI 20 MAMBO YAKO 80. Maisha yanaenda. Kanuni za mwalimu kufanikiwa. 1. Kopa xna fanya mambo yako 2 fungua miradi ikuzalishie ikibidi fundisha shule hata 2. 3 kuwa karibu na wenzako hasa Mwl. Mkuu/head master.4 kuwa na roho ngumu usiogope vitisho hasa barua za maonyo pind unapokuwa mtoro au unapo shndwa kutimiza majukumu. 5. Fanya kaz kwenye mazingira yenye fursa za kimaendeleo. Usiwe na mkono mfupi kwenye mambo yanayohusu maslah hasa Cheo na Teuzi mbalimbali na semina, madaraja. na uhamisho wa kimaslah zaid. Jiendeleze kielimu. oa au olewa na mtu mwenye kipato msomi mfanyabiashara au ajira kama inawezekana. Tumia fedha yako vizuri weka kumbukumbu zako za kimahesabu inshort HESHIMU PESA YAKO HASA PALE UNAPO ITUMIA AU IHIFADHIA JEE NI SALAMA JE INAJIONGEZA?i.e investive

una mawazo na roho ngumu kama yangu!
 
Mkuu vipi mafanikio
 
Kama kuna mtu ana ushahidi wa mtu aliyefanikiwa/aliyetoka kimaisha kwa kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi peke yake,atushudie hapa.Changamoto hazipo kwenye ualimu peke yake.kwa manufaa zaidi pitia huu uzi utapata mawazo ya watu ambayo yatakutoa hapo ulipo na kukupeleka hatua kadhaa mbele.Nashindwa kuweka link ila search kwa kuandika"Nataka kuacha kazi,ushauri tafadhali"
 
Mi nashauri walimu wenzangu kuchangamkia habari za scholarships kwani kuna fursa nyingi za kwenda kusoma nje kwa walimu mfano mzuri ni program ya kufundisha Kiswahili Marekani inayoitwa Fulbright, ambayo taarifa zake zinapatkana ktk website ya ubalozi wa Marekani. Uzuri wa scholarship ni kupata exposure pia unaweza pata hela nzuri utakayoisave kutokana na hela ya matumizi unayopewa. Pia elimu ya nje kwa bongo haina ushindan ktk ajira. Tuiangalie kwa umakin hii fursa.
Asanteni
 
Back
Top Bottom