Nauza mayai ya kuku aina kroiler yanayo totolesheka na vifaranga vya kroiler

Gegift

Member
Mar 16, 2011
14
1
Habarini wadau,
Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji tuwasiliane kwa namba 0753776329 au 0719160198.
 
Trey ni tzs 13,000 kwa bei ya jumla na kifaranga kimoja ni tzs 2,000 wakiwa wamepewa chanjo yamareks. Tuwasiliane 0753776329,
 
Kanda ya ziwa tuwasiliane tufanye arrangement ya kisafirisha, inawezekana
 
Habarini wadau,
Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji tuwasiliane kwa namba 0753776329 au 0719160198.
Unapatikana dar maeneo gan
 
Habarini wadau,
Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji tuwasiliane kwa namba 0753776329 au 0719160198.

Japo kapicha kao hao kuku. Plz
 
Back
Top Bottom