Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

Habari wana jamvi. Nimekuja hapa kuomba ushauri kwenu ili niweze kumsaidia rafiki yangu ambae amezama kwenye penzi la mke wa mtu. Nimejaribu sana kumshauri mpaka imefikia kipindi sasa hivi hatuongei kabisa kwa sababu ya jambo hilo.

Mume wa huyo dada alishawahi kumtafuta rafiki yangu kwa kumpigia simu akimtaka aachane na mke wake lakini rafiki yangu amekuwa mjeuri hasikii. Ndoa yao imekuwa haina amani kabisa ni ugomvi kila kukicha mpaka jamaa amekuwa mlevi kupindukia kwasababu mkewe hatulii.

Sasa nimepanga nimfungie mume wa yule dada nimwambie ukweli nimuelekeze jamaa mpaka kwao na mshkaji. Sasa najiuliza nikimwambia yule mume wa yule dada je mshkaji hatoniona msaliti?na pia kuacha bila kufanya kitu kuokoa ndoa ya wale watu moyo unanisuta maana anayesababisha matatizo namjua ni kiasi cha kumtaji ili aache kuharibu ndoa ya watu.

Naomba ushauri nifanye nini kuwasaidia wote wawili, yaani rafiki yangu aachane na mke wa mtu na pia kumsaidia jamaa kurudisha ndoa yake maana wana watoto wawili na anampenda sana mke wake.

Ukimchekea huyo si tafiki mwema hiyo tabia huenda kaizoe ipo rohoni mwake,, hivyo usije kushangaa sk ukisikia anatembea na mkeo pia.
 
Kwan wakimin kabang au Tigo extreme we shida yako iko wap kama mwenye mume kaongea kashindwa we tulia aje tu akuombe ushauri
 
Fanya kumnunulia mafuta ya cherehani awe anatembea nayo mana cku wakimkuta nae ni kumtatua marinda tu
 
Habari wana jamvi. Nimekuja hapa kuomba ushauri kwenu ili niweze kumsaidia rafiki yangu ambae amezama kwenye penzi la mke wa mtu. Nimejaribu sana kumshauri mpaka imefikia kipindi sasa hivi hatuongei kabisa kwa sababu ya jambo hilo.

Mume wa huyo dada alishawahi kumtafuta rafiki yangu kwa kumpigia simu akimtaka aachane na mke wake lakini rafiki yangu amekuwa mjeuri hasikii. Ndoa yao imekuwa haina amani kabisa ni ugomvi kila kukicha mpaka jamaa amekuwa mlevi kupindukia kwasababu mkewe hatulii.

Sasa nimepanga nimfungie mume wa yule dada nimwambie ukweli nimuelekeze jamaa mpaka kwao na mshkaji. Sasa najiuliza nikimwambia yule mume wa yule dada je mshkaji hatoniona msaliti?na pia kuacha bila kufanya kitu kuokoa ndoa ya wale watu moyo unanisuta maana anayesababisha matatizo namjua ni kiasi cha kumtaji ili aache kuharibu ndoa ya watu.

Naomba ushauri nifanye nini kuwasaidia wote wawili, yaani rafiki yangu aachane na mke wa mtu na pia kumsaidia jamaa kurudisha ndoa yake maana wana watoto wawili na anampenda sana mke wake.
ya ngoswe muachie ngoswe kaka
 
Achana na mambo ya watu wewe. Hizo nguvu tumia kwa dem wako
ukiona hivyo aidha hana demu ama na yeye alimtaka huyo mke watu. Katika hali ya kawaida huwezi shupalia mambo ya mtu mwingine kiasi hicho. Na kwa dunia ya leo anaweza kuwa si rizki kwahiyo anamtaka yeye rafiki yake
 
Naona na wewe huna akili pia.kama wewe una hilo tatizo basi useme sio kuongea ujinga kwenye vitu vya msingi.unajuaje kama anayefanya hivyo ni ndugu yako?jinga
 
ukiona hivyo aidha hana demu ama na yeye alimtaka huyo mke watu. Katika hali ya kawaida huwezi shupalia mambo ya mtu mwingine kiasi hicho. Na kwa dunia ya leo anaweza kuwa si rizki kwahiyo anamtaka yeye rafiki yake
Unaweza ukute ni dada yako ndio anatoka na huyo rafiki yangu halafu unaongea ujinga hapa.
 
dada yangu ni mwanamke na kama hajabakwa inamaanisha kapenda mwenyewe ya nini ushupalie mambo yasiyokuhusu ndugu
 
Ungekaa kimya na watu wenye akili timamu wakachangia ingesaidia kuficha akili zako finyu.na wewe itakuwa ni mmoja wa watu wenye tabia za kishenzi kama hizo.
 
d9b0252096L.jpg
 
hujioni kuwa una dosari kila mchango uliopewa unaambiwa uachane na mambo ya watu? hebu acha ushawishi mtoto wa kiume.
 
Hachana na maisha ya watu, au hauna kazi ya kufanya?
 
Kweli wewe ni mvulana wa DSM, hapo ndio mwisho wa uwezo wako wa kutatua changamoto!!
 
Tena unasema rafiki yangu anatembea na mke wa MTU" shame on you, foolish
 
Back
Top Bottom