Nauza jumba kali bei safi

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu Ina vyumba 3 vya kulala, sitting room kubwa ya kuweka sofa seti mbili, dinning, jiko Na store, public toilets, nje Ina Caro kubwa la maji, miti mingi migomba Na michungwa na moembe ya kisasa miparachichi Na michenza na mieple, viwanja 3 vya 20m kwa 60m kila kimoja, hati sijakuchukua ila kila kitu kiko kwenye process iko Singida mjini kimpungua jirani Na Chuo cha uhazili bei 60milioni Ni yangu mwenyewe ila nakaribisha Dalali, 0754459572
Cheki picha

IMG-20160508-WA0051.jpg


IMG-20160508-WA0053.jpg


IMG-20160508-WA0055.jpg


IMG-20160508-WA0050.jpg
 

Attachments

  • IMG-20160508-WA0057.jpg
    IMG-20160508-WA0057.jpg
    92 KB · Views: 48
sio umejenga kwenye shamba la mtu sasa umeishajua kinachofuatia unataka usepe..........?
 
Utadhurumuje mkeo aisee Na wakati mwaiahi pamoja? Au tumeachana nae?
 
Nauza kwa sababu nimehama huko nataka nijenge sehemu makazi ya kudumu.
PIA mwezi augost naenda nje shule hivyo ikiwa huko sipendi nataka iwe ninapotaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom