Recent content by Mikidadi Chisala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa ili tatizo anijuze

    Nakunywa sana maji mpk inakuwa kero....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa ili tatizo anijuze

    Ni muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mkojo wa njano kupindukia, Mara nyingi nimejaribu kupata tiba katika hospitali tofauti tofauti bila mafanikio yoyote yale, tatizo bado lipo palepale,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Describe your ex using movie titles

    Wayback mbaya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wakuchat

    Mwanamke binti sijui kama utapata huku' teh teh teh teh
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaoendaga kwenye show za miziki ya kibongo mnafaidi nini hasa ?

    Kweli huyu jamaa hata kama anatumia playback bt anajua jinsi ya kucheza fans wake!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba na Bumbuli taabani

    Duuh raisi anapimwa kwa nywele?
  7. M

    JamiiForums Tanzania 'Vijimambo vya Mliberia'-Ameaga Kwao

    Miba ndo tatizo kubwa la soka letu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania 'Vijimambo vya Mliberia'-Ameaga Kwao

    Ni Fundi kweli, anaupiga haswa kungekuwa hkn siasa katika soka la bongo jamaa angeisaidia sana Kwala lumpa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plots/viwanja za bei nafuu kwa Watanzania

    Ni lazima ulipe cash? Au malipo nusunusu yanakubalika pia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tender ya Kutengeneza kadi za Harusi, Keki na Calendar, Diaries

    Ni vizuri ungejibu hapa upunguze maswali mengi!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usipohonga yakikukuta usilalamike

    Duuh' wanawake wa kileo hao....... Hongera subiri ndoa Dada Miaka 3000
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Kwa muda gani unatakiwa uwe umemalza?
Back
Top Bottom