Mikidadi Chisala
Member
- Nov 12, 2014
- 52
- 3
Ni muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mkojo wa njano kupindukia, Mara nyingi nimejaribu kupata tiba katika hospitali tofauti tofauti bila mafanikio yoyote yale, tatizo bado lipo palepale,
Kunywa maji mengi yaweza kukusaidia