Tender ya Kutengeneza kadi za Harusi, Keki na Calendar, Diaries

Tender ya Kutengeneza kadi za Harusi, Keki na Calendar, Diaries

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wandugu

Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa kutengeneza kadi mbalimbali za harusi, iwe kitchen party, sendoff, harusi, misiba na mtengenezaji wa Tshirt mbalimbali ziwe za maofisini, sehemu za promotion, na sehemu mbalimbali kwenye mikutano, ya kiofisi, kibiashara n.k, na vilevile ni mtengenezaji wa keki za harusi , birthday, kitchen, sendoff, na kadhalika.

Naprint Calendars, Diaries , Brochures, Business cards, Banners, Posters, Booklets, Forms, Proforma Invoices, etc

Kama unahitaji kufanyiwa huduma hizi kwangu na uwe serious kwa jambo hili, basi usisite kuwasiliana nami kupitia hii contact zangu hapa chini:- simu no. 0757 419924


Karibuni kwa huduma
 
karibuni kwa huduma hizi wedd cake beauty.jpg
 
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaa usichelewe tafuta wa kuoana nae nikutengenezeee keki baaaabukubwa

macho tu yamefaidi hapo best mwakani usikawie vuta chako mapema halafu tuonane katika ikulu hii
Duu Mate yamenitoka Ngoja nitafute wa kuoana naye nikutafute LadyHappy
 
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaa usichelewe tafuta wa kuoana nae nikutengenezeee keki baaaabukubwa

macho tu yamefaidi hapo best mwakani usikawie vuta chako mapema halafu tuonane katika ikulu hii

Receipt book chenye page 50 unafanya sh.ngapi
 
karibu kwa huduma hizi natengeneza keki za kila aina katika sherehe yako

zifuatazao ni sample za keki niinazotengeneza

keki white blue kawaida.jpg

keki red white.jpg


keki orange green 500.jpgkeki orange green 500.jpg
 
Back
Top Bottom