Recent content by Midumare Ngatuni Iwato

 1. Midumare Ngatuni Iwato

  Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

  Niwaombeni viongozi wangu mnaotuongoza Isaidieni sana RFA isife imefanya mambo makubwa katika nchi yetu Mimi ni mchagga ila imesaidia sana maendeleo yawatu Mh Raisi Magufuli nakuomba Baba wa Tanzania iokoe hii RFA viongozi mguswe na hili
 2. Midumare Ngatuni Iwato

  Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

  Aina gani ya whatsup vision naweza kufowrd message mpaka 250 kwa wakati mmoja
 3. Midumare Ngatuni Iwato

  Azam Tv inapoteza mvuto

  GTV wangerudi wale jamaa DSTV wangeenda sawa sawa Pia wakipatikana ESPN nao wazuri sana Ila kwa kweli DSTV tena kwa explora Mimi naangalia extra kwa kwa kwa kutumia DStv explora decoder mbili haisumbii kbsa wala hautajutia kbsa kbsa
 4. Midumare Ngatuni Iwato

  Rais kuingilia taratibu za ibada

  Utaratibu wakukusanya sadaka niwakawaida nawanaokusanya sadaka niwaumini wakawaida Kwahiyo kitendo alichokifanya Mh Raisi nichakawaida sana sana Tena kwa nafasi yake nikitu kikubwa sana kumfanyia Mwenyenzi Mungu Mkuu Mimi mkatoliki nileyesoma uchaghani useminarini nijambo zuri sana
 5. Midumare Ngatuni Iwato

  Mmatumbi ambaye ni mkuu wa polisi Venezuela ajiuzulu na kumtoroka Maduro

  Maduro akiondoka basi South America yote itakuwa haikaliki kbsa kbsa na inawezekana ikawa mwanzo wavita yatatu yadunia
 6. Midumare Ngatuni Iwato

  Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

  Jasusi sio komando Na komandoo sio jasusi Jasusi anatoa in formation Then komandoo,kikundi mahalumu kinakwenda kumaliza kazi Fuatilia waliomuua Osama Walipewa taarifa na CIA ndipo team seal six makomondoo wakaingia mzigoni
 7. Midumare Ngatuni Iwato

  Tanzania wasomi wanapoteza muda na MB nyingi mno kwa mambo yasiyoingiza pesa

  Sisemi kituu ila wewe ndio mpuuzi mkubwa sana Umekuja kufanya nini huku?
 8. Midumare Ngatuni Iwato

  Hoteli maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa

  Pole sana Mrema pumzika kwa Amani Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Midumare Ngatuni Iwato

  Utata wa kutumia picha ya Mlima Kilimanjaro ikiwa inawaonyesha Tembo.

  Mkomazi Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Midumare Ngatuni Iwato

  Msaada Nataka Kwenda kutafuta maisha nchi za Ulaya

  Kusafisha mashamba au kuendesha yale train truck
Top Bottom