Recent content by micsab

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa ajili ya nafasi za ualimu hupelekwa ofisi gani?

    Naomba kujuzwa maombi ya ajira ya ualimu wa sekondari yanaelekezwa ofisi/wizara gani wakuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    Maombi ya ajira ya ualimu wa sekondari yanaelekezwa kwa nani wakuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kubeba mabegi kurudi kwao baada ya kukosa mikopo

    Hapo ndio unaona umuhimu wa fao la kujitoa kwani linaweza tumika kujisomesha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa NSSF, Dr. Dau atapona?

    Withdrawal benefit mbona hatupati najibu ya uhakika?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa mafao/pesa za NSSF kutoka

    Miezi 6 ila wanachunguza kwanza kama kweli haupo kazini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba tena kazi serikalini?

    Naombeni kufahamishwa,mimi ni mwalimu wa shule binafsi tangu mwaka 2008 nilipangiwa shinyanga vijijini sikuweza kwenda kwasababu nilitakiwa kuwa karibu na mama mzazi aliyekua hospitalini kcmc hivyo miliomba kazi ktk shule binafsi hadi sasa. Sasa nahitaji kuingia serikalini nitaanzia wapi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata Alama hizi, utakuwa na wastani wa B?

    Naombeni kufahamishwa ,katika masomo saba ukipata B 5 C 1 na A 1 inakua ni sawa na wastani wa B?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Diploma in Medical Lab kwa anayefahamu

    Naomba kuuliza ukiomba chuo kwa matokeo ya diploma ni lazima uombe kozi hiyohiyo? Mfano ualimu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

    Is it possible?
Back
Top Bottom