Senator_4994
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 234
- 402
Naomba kujuzwa kuhusu diploma hyo hapo juu (medical lab) kama mtu akifuzu mafunzo ya hyo coarse kwenye chuo kama UDOM au DECCA anapata ajira direct toka serikalini kama ilivo kwa walimu au inakuaje msaada hapo kwa anayefahamu